Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Tigo Shops kajiungeHuu uzi umepoa. Wangapi wameshapata vifurushi vya tigo?
Na mm ulinipotezea kule PM... kwamba unaniunganisha na mhusika hadi leo[emoji3166]Ngoja nije chief
Full info?Gb5.5 za week mbili Tgo, holler at me
Kaka wataje tu kwa ID zao na majina tagadhali,watatufaa kwa future,uaminifu ni nguzo muhimu sana kwenye maisha.MREJESHO: kuna Jamaa kama wanne kutoka hapa jf, Nimewapa huduma, kisha wananiblock kisa Buku[emoji23][emoji23]...
Yaan 1000/= mtu ananipiga block, Mnashauri nin wakuu?
Sio wewe mkuu ambaye tayari umeungwa?Na mm ulinipotezea kule PM... kwamba unaniunganisha na mhusika hadi leo[emoji3166]
Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Kaka wataje tu kwa ID zao na majina tafadhali,watatufaa kwa future,uaminifu ni nguzo muhimu sana kwenye maisha.
Hapana chief...ulisema kuniunganisha na mhusikaSio wewe mkuu ambaye tayari umeungwa?
Hivi Zantel si wamenunuliwa na Tigo Namba zao zitakubali Humu?WALE WATIGO SASA MMEFIKIWA.
Natoa OFA na HUDUMA.
1. OFA, Naunga Gb 1 kwa 1000 inadumu kwa siku 3. Unaungwa mara moja tu. hii ni OFA ya mara moja Tu.
Malipo Baada ya Kazi.
Piga/Whatsapp: 0710535327
2. TIGO business.
Kama inavyoonekan hapo chini..
Ni mfumo ambao unakuwa unalipia bili kila mwezi.. unachagua Aina ya kifurushi nakuingiza kwenye mfumo BUUURE!!!
Piga/Whatsapp: 0710535327
Bado zipo???Gb5.5 za week mbili Tgo, holler at me
Hizo gb 25 kwa matumizi ya kwenye router mkatumia watu 4 hata wiki aifiki
Hapana mkuu, Sajili laini ya Tigo tuHivi Zantel si wamenunuliwa na Tigo Namba zao zitakubali Humu?
Kwamba ukiniunga huwezi kuniunga tena kifurushi hicho au unamaanisha niniKifurushi kinadum kwa siku 3, hata ukitumia masaa mawili kikaisha n weww tu.. ila ni ofa ya mara moja Tu.. nikikuunga ndio imetoka..!
Ilikuwa ni Ofa, imekwisha✊🏿Kwamba ukiniunga huwezi kuniunga tena kifurushi hicho au unamaanisha nini
Hii bado ipo mkuu.
ipo mkuuHii bado ipo mkuu.
wapigie Voda ama tigo mkuu watakupa free internet vpn, chapuuuu.Ninyi mmeshindwa kutuletea free internet VPN ,mfute huu uzi sasa ,kazi kujaza servers Tu humu
Check whatsapp .......8 0788 bado sina hudumaipo mkuu