Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
So hao Sky walikufata tena baada ya kuunganisha Net?Hawa ni sky?? Niliwaomba wanifungie walinisumbua kinyama mpaka nikajiunga na net solition
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hao Sky walikufata tena baada ya kuunganisha Net?Hawa ni sky?? Niliwaomba wanifungie walinisumbua kinyama mpaka nikajiunga na net solition
Sasa hii ni limited haina mzuka sanaWakuu unyama huu View attachment 2744349
Amini yaani sema kanasaidia sana 😁Sasa hii ni limited haina mzuka sana
Yes walinifuata nikawaambia sihitaji tena hudumaSo hao Sky walikufata tena baada ya kuunganisha Net?
Hata hivyo wana gharama kubwa afu speed ndogoYes walinifuata nikawaambia sihitaji tena huduma
Mzee siku hizi tunataka unlimited sio kupimiwa piwa kama sukaruWakuu unyama huu View attachment 2744349
Unlimited bongo bado sanaMzee siku hizi tunataka unlimited sio kupimiwa piwa kama sukaru
Kweli chief speed ndogo sana..hii yenyewe 20mbps tupo kama kumi hiviii nikiwasha smarttv basi lazima ishukee speed...japo me tv nimeunga na ethernet sasa sijaelewa kwann ethernet ishushe speed kwa wenye wifi...Hata hivyo wana gharama kubwa afu speed ndogo
Bora ulivyo watema
Ndio maana tumehamia fiber mkuu hakuna mambo ya kupimianaUnlimited bongo bado sana
Ndio maana tumehamia fiber mkuu hakuna mambo ya kupimiana
Sema fiber inasaidia sana ila kuna kipindi ukikwama ukiwacheki huduma kwa wateja wanazinguaNdio maana tumehamia fiber mkuu hakuna mambo ya kupimiana
Ethernet ni directly haitumii radio wave kama Wi-fi so kitaalamu kutumia internet kwa njia ya Ethernet Cable unapata speed ya juu kuliko Wi-fiKweli chief speed ndogo sana..hii yenyewe 20mbps tupo kama kumi hiviii nikiwasha smarttv basi lazima ishukee speed...japo me tv nimeunga na ethernet sasa sijaelewa kwann ethernet ishushe speed kwa wenye wifi...
Hapa umeongea sahihi kabisa kaka nahisi wao nipo nao mbali kidogo.kule wanapata bar 2 au tatuEthernet ni directly haitumii radio wave kdma Wi-fi so kitaalamu kutumia internet kwa njia ya Ethernet Cable unapata speed ya juu kuliko Wi-fi
Wi-fi inaweza kuwa interference na vifaa ambavyo vinatumia mawimbi, hii ikasababisha un-constant speed
Kama hao watu wengine wapo mbali au kutoka WiFi yako ilipo hadi kuwafikia hao watu kumetenganishwa na kuta basi nayo inaweza kuchangia kupata low signal.
Hahaha hapa ndipo kimbembe kilipoSema fiber inasaidia sana ila kuna kipindi ukikwama ukiwacheki huduma kwa wateja wanazingua
Kabisa ni kulia na kusaga menoHahaha hapa ndipo kimbembe kilipo
Speed ndo shida yaniVpm kibao zinapiga mzigo Ila mchawi speed
Naitaka msaada najiungaje?Hii mbona bado ni expensive,? Wakati unapata GB 5 kwa 5000
GB 9 kwa 10,000
GB 18 kwa 15,000
GB 38 kwa 30,000
GB 66 kwa 50,000
GB 110 kwa 75,000
GB 210 kwa 100,000
Na ni vya mwezi na kuendelea adi mwaka na unaungwa bure tu kwa huo mtandao tena laini unaimliki ukitaka kujiunga mwenyewe unajiunga tuu...!
Ongeeni vizuri na watu muache kupigwa!
Anaetaka anicheki bure!
akikujibu nikumbuke na mimi mkuuNaitaka msaada najiungaje?