Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mshale lazima ulale kushoto mkuu
Bado naendelea kufanya majaribio.
  • Video qulity : 1440p, bila shida. | Kweny laptop
  • 720p | kwenye TV iko vizuri

1694768423825.png
 
Ubarikiwe sana mkuu ,sijutii kuijua jf ukiwemo wewe...naona unazidi kunipa hamu niende kariokoo nikanunue hizi used wifi..kipengere sijajua urefu wa wire itakua bei gani naona kama zina bei ghari hivi.
Mkuu naziona kama 500-1000 jiji per Metre, Cat 6 ambazo zina uwezo wa kupelekea 10GBPS mpaka futi 164 kama mita 50 hivi. Pengine ukienda madukani bei ikawa rahisi zaidi.
 
Kama yapi mkuu
Ni kwamba kuna baadhi ya vitu vinafanyika ila ngazi za juu zinakuja hazijui.

Unaweza kusema ni tatizo la kampuni kumbe ni watu wa chini ndio wanao kwamisha.

Nimelithibitisha hilo baada ya kutuma email ya malalamiko ambayo ime link kwenye ofisi zao zote hadi makao makuu.
 
Mkuu naziona kama 500-1000 jiji per Metre, Cat 6 ambazo zina uwezo wa kupelekea 10GBPS mpaka futi 164 kama mita 50 hivi. Pengine ukienda madukani bei ikawa rahisi zaidi.
Mkuu naweza vip ku hide QR code ya wifi YANGU Ili mtu asiweze kushare parswod kwa mtu mwingne
 
Mkuu naweza vip ku hide QR code ya wifi YANGU Ili mtu asiweze kushare parswod kwa mtu mwingne
Kwenye hizo router si kuna administrator control ambayo inakuwezesha ku login kupata full control?

Angalia ip address kama imeandikwa kwenye hiyo Router kisha chomeka Ethernet cable kutoka kwenye Router kwenda kwenye pc.

Fungua browser kisha pale kwenye url andika hizo IP address...

Ikifunguka utaambiwa ujaze username na password ambapo karibia Router zote zina default username na password ambazo ni admin

So kwenye username unaandika admin na kwenye password unaandika admin.

Baada ya hapo utaweza kuona device zilizounganishwa lakini pia kuna option nyingine ya kusajili mac address ambazo zitaweza ku connect WiFi yako.

Maana yake kwa option hiyo ni kwamba hata mtu ukimpa password hatoweza ku connect kwenye WiFi yako mpaka pale wewe utapochukua Mac address na kui register kwenye orodha ya watumiaji wa WiFi yako.
 
Mkuu naziona kama 500-1000 jiji per Metre, Cat 6 ambazo zina uwezo wa kupelekea 10GBPS mpaka futi 164 kama mita 50 hivi. Pengine ukienda madukani bei ikawa rahisi zaidi.
Sawa chief ..mita 50 inatosha kabisa..ngoja nifanye mchakato.
 
Hio ni feature ya android sidhani kama inawezekana.

Kuna router inaonesha watu wote walioconect unaweza ukamtoa mtu usiyemtaka, mostly wanaonekana kwa Mac zao. Kama humanage watu wengi hii inasaidia.
Mimi rooter yangu sijui isp wafunga aacces inagoma kulog in yaani mpaka uwapigie wenyewe hata ukitaka badili password
 
Mimi rooter yangu sijui isp wafunga aacces inagoma kulog in yaani mpaka uwapigie wenyewe hata ukitaka badili password
Ni model gani? Hata TTCL kwangu walikataa, ila nimefanya mambo yangu nikapata access, kama hawajabadili ile ya mwanzo tunaweza ipata kama walibadili ngumu kupata.

Alternative ukiweka router nyengine fanya mambo yako huko na hii router mama ifanye kazi zako binafsi.
 
Nimepata msg ya Airtel wanauza router(sijui ni router au pocket Wi-Fi wanasema tu ni kifaa cha internet)kwa 50k na utapata bando 10GB kwa 10k(Sijajua ni kwa wiki/mwezi) hii imekaaje
 
Ni model gani? Hata TTCL kwangu walikataa, ila nimefanya mambo yangu nikapata access, kama hawajabadili ile ya mwanzo tunaweza ipata kama walibadili ngumu kupata.

Alternative ukiweka router nyengine fanya mambo yako huko na hii router mama ifanye kazi zako binafsi.
Nahisi hawajabadili ni hii hapa mkuu..
IMG_20230908_094931.jpg
 
Back
Top Bottom