Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Laki na 15 parefu kaka usawa huuHiyo achana nayo tumia ya laki 1 na 15 ndo tamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki na 15 parefu kaka usawa huuHiyo achana nayo tumia ya laki 1 na 15 ndo tamu
Tena yamoto sana aseeHii 5G ya package gani mkuu? Maana hiyo speed yamoto
Pesa ya kawaida sana kaka si unlimited sio limitedLaki na 15 parefu kaka usawa huu
Nimewapigia hapa sasa hivi..Pesa ya kawaida sana kaka si unlimited sio limited
Karibu mkuuTunavipatajeh mkuu
Ah! Vyanini hivyo, mbona kausha damu hiyo, tafuta Airtel smeTunavipatajeh mkuu
Kha! We ndio unaona umetumia sana.Ndo maana washamba sana ngoja ni baki na supa kasi yangu maana kwa siku nasukuma hadi gb 48
Unapokua na unlimited internet hunahaja ya kudownload ni kuangalia online tu mkuu.Kamua kaka hiyo ndo inavotakiwa kesho nimepanga nidownload movie zilizo toka mwaka huu na series zote na magemu ya gb 40 na kuendelea
Kwa siku natumia kwa wiki nina tb 1Kha! We ndio unaona umetumia sana.
Acha kunipangia matumizi mkuu kuna movie online hazipo au hujui kitu wew kuna movie hazipo netflix ila ukienda pirate torrent zipoUnapokua na unlimited internet hunahaja ya kudownload ni kuangalia online tu mkuu.
Dah sema wengi location zetu hazina 5G Kuna YOYOTE mwenye 5G atuambie jinsi inavyokimbia!Mzigo nimeutia mkononi, Kwa muda mchache niliotumia nimegundua nilikua najichelewesha mwenyewe.
Sasa mwendo wa ku stream tu Netflix, IPTV etc
Good byeee [emoji112] DSTV Decoder na ndugu zake woteView attachment 2766323
Ukiwa na ulimited king'amuzi kwa kweli hakina maanaMzigo nimeutia mkononi, Kwa muda mchache niliotumia nimegundua nilikua najichelewesha mwenyewe.
Sasa mwendo wa ku stream tu Netflix, IPTV etc
Good byeee [emoji112] DSTV Decoder na ndugu zake woteView attachment 2766323
Mkuu mimi nikiinstall hizi vpn kwenye simu yangu zinagomaZIVPN, hhtp custom, world link proxy
Umelipia 270k ama umechukua router bure mkuuMzigo nimeutia mkononi, Kwa muda mchache niliotumia nimegundua nilikua najichelewesha mwenyewe.
Sasa mwendo wa ku stream tu Netflix, IPTV etc
Good byeee [emoji112] DSTV Decoder na ndugu zake woteView attachment 2766323
Nimechukua Kwa 270Umelipia 270k ama umechukua router bure mkuu
?Mzigo nimeutia mkononi, Kwa muda mchache niliotumia nimegundua nilikua najichelewesha mwenyewe.
Sasa mwendo wa ku stream tu Netflix, IPTV etc
Good byeee [emoji112] DSTV Decoder na ndugu zake woteView attachment 2766323
Jua kali wifi ataangalizia wapi?Mzigo nimeutia mkononi, Kwa muda mchache niliotumia nimegundua nilikua najichelewesha mwenyewe.
Sasa mwendo wa ku stream tu Netflix, IPTV etc
Good byeee [emoji112] DSTV Decoder na ndugu zake woteView attachment 2766323
5G mie naipataga sometimes kwa simu… ni bando kuteketea tuDah sema wengi location zetu hazina 5G Kuna YOYOTE mwenye 5G atuambie jinsi inavyokimbia!
Hii mimi walinipa mashartiHiyo achana nayo tumia ya laki 1 na 15 ndo tamu