Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nimeichukua ikiwa haina line, Hizi router si unaweka tu line ya voda yenye bando kwisha kazi. Naongelea kwa mwenye line ya supa kasi na anataka router ndo itamfaa ni plug and surf tu
Aaah weeeeh[emoji38][emoji38][emoji38]

Unatuona mafala eeh?

Yani ununue router kisha ununue kifurushi cha kawaida?
 
Tangu ninunue router na kupata unlimited, simu yangu inajaa muda wote nimepunguza apps nyingi nazopenda nimefuta video pictures lakini nikikaa saa chache inajaa tena.

Inaweza ikawa inasababishwa na nini?
Na solution yake ni ipi?
 
Ina storage ya ngapi
 
Setting kisha storage angalia humo nini kinajaza.
 
@Chief-Mkwawa Toka nimeingiza update kwenye simu yangu haitaki kuupdate apps nikiupdate inaishia kuzunguka tuu, baada ya kuiupdate pia imepanda kwenye 5G
Ni Samsung A73 mkuu nimekua najaribu mara kwa mara na kurestart sim ila nikijaribu tuu kuupdate inakua pending muda wote, naomba kama naeza pata msaada ili apps zangu ziwe updated Mkuu
 
Angalia setting za internet kwanza hakikisha Apn yako ni Internet na sio wap ama web, sometime husababisha hili

Pia angalia kama una pending update, kama kuna update moja inasumbua zinazofuatia zote zitaandika pending, uki cancel inayosumbua nyengine automatic zitaendelea, shortcut hapa una clear cache za playstore na play service ambazo unazipata settings kisha apps.
 
Shukran Mkuu solved
 
Inawezekana sababu mambo yameenda fasta sana ndani ya wiki 1 na nusu nyumba zote 5 pale mtaani zishawekewa.
Mkuu taja mtaa kama hutajali unaweza kuta na sisi ni majirani zenu tunifaike na huu mserereko[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom