Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ndio ping kwa online tv ikiwa kubwa inasababisha buffer, sema TTCL haina ping kubwa kama unavyoona local ping ni 4ms tu ni ping nzuri, issue ni route kwa Nchi za Ki Africa.

Live TV nyingi server zake hazipo Africa hivyo huwezi ona Tofauti baina Ya TTCL na Voda ama Zuku.

Ila ikitokea Server ipo South ama Kenya then utafeel hio ping.
Mkuu mimi channel zangu pendwa ni za mbele kama vile BBC earth,CNN,National geographical,PBS,etc na za mpira wa nje
 
Wanatoa maeneo gani mzee? N je bei zao zikoje?
Maeneo ya mjini mkuu.
Screenshot_20231026_204929_YoWhatsApp.jpg


Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Hii sijawahi kuitumia aisee, unaweza ukapima speedtest South Africa?


Kama hio ping inasomaje?
Last time nimetest results zilikua hivi.
Screenshot_20231026_205902_Gallery.jpg


Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu router yako ya airtel hiyo USB-C port inafanya kazi yoyote?mimi najaribu kuitumia kucharge na hata nikiconnect kwenye computer haifanyi chochote.
Same hata kwangu haifanyi kazi, nimejaribu chaja zenye watts tofauti tofauti mpaka yenye 120W lkn hazijaweza kuchaji..
 
Back
Top Bottom