Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #8,801
Inawezekana, kwa msaada wa kifaa kingine kama router utumie kama wifi ama Ethernet to USB adapter uchomeke waya moja kwa moja.Je inawezekana kutumia kwenye simu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana, kwa msaada wa kifaa kingine kama router utumie kama wifi ama Ethernet to USB adapter uchomeke waya moja kwa moja.Je inawezekana kutumia kwenye simu?
Nilizungumza na wakala wa airtel 5G akanambia kifurushi cha 70,000 ni kwa wale walionunua router kwa 200,000. Wale ambao wanapewa bure wanapata kifurushi cha 110,000.Mimi kwa mtazamo wangu huyu jamaa anakupotezea muda mkuu, yeye ni agent kama alivosajili alipata kamisheni na ndo lilikua lengo lake.
Ni kama wale wakala wa mtaani ukisajili laini wanakimbilia kukufungulia mobile payment kitu ambacho si lazima ila wanafosi kwa ajili ya maandalizi ya kamisheni.
Turudi kwenye mada mimi toka ule mwezi wa kwanza ulivoisha wadau walivokua wanauliza 70k hakionekani niliuliza wadau waliolipia 200k kina onelana wadau kadhaa wakathibitisha bado wanakiona.
Conclusion ilikua pale kwamba yule wakala kafosi apate ile kazi.
Hapo cha kufanya naunga mkono hoja ya Kingsmann kwamba kufika shop kuuliza utaratibu wa kushift wakati huo 200k yao ikiwa mkononi
Mkuu umetukimbia Unyumbuni uje utusabahi hata mara moja mojaKwani yule jamaa aliyekuwa anaunganisha kifurushi cha mwezi tigo kwa 10k yuko wapi?
Hawa ni kausha damu
Leo Tu au wiki hii yote inazingua hasa kwenye routerLeo Airtel inazingua
Kwenye routerLeo Tu au wiki hii yote inazingua hasa kwenye router
Mko wapi huko?? Mbona kwangu router haizingui mtandao?Leo Tu au wiki hii yote inazingua hasa kwenye router
Mie nipo kigamboni Leo naona jau tuMko wapi huko?? Mbona kwangu router haizingui mtandao?
Kigamboni kisiwaniMko wapi huko?? Mbona kwangu router haizingui mtandao?
Mko wapi huko?? Mbona kwangu router haizingui mtandao?
😂Mkuu umetukimbia Unyumbuni uje utusabahi hata mara moja moja
Hiki napata nikiwa na bei gani mkuu??nataka hiki kifurushi kwa ajili ya staff,tupo kama watu 30 hv,vipi itanifaa??50K ndo unapewa 28GB?
Daah nakuonea huruma sana mkuu, kwa sababu ungeongeza 20K ikafika 70K unapata unlimited ambayo unastream kila kitu kwa 1080p bila kustuck, unadownload mambo yako kwa standard speed, kama una smart tv ndiyo kabisaaa unasahau mambo ya dstv na azam.
Kama unavyoona hapa, mpaka sasa kwa huu mwezi nimetumia almost 300GB, na hapo sijafanya maximum utilzation kama miezi mingine. Kuna wana wanagonga mpaka Terabites kadhaa kwa mwezi[emoji3]
View attachment 2853606
Itawafaa sana sana..... Tena mkiwa 30 kama watakuwa wanachanga, kila mmoja akitoa 5000/= tu total mnapata 150k kwa mwezi ambayo mnapata speed ya 50Mbps, hiyo speed kwa watu 30 inatosha sana kwa matumizi standard..Hiki napata nikiwa na bei gani mkuu??nataka hiki kifurushi kwa ajili ya staff,tupo kama watu 30 hv,vipi itanifaa??
Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
Pia kwa hiyo namba ya staffs, chukua cha enteprise, hiko unapewa router buree, wewe utakuwa unalipia kifurushi tuu..Hiki napata nikiwa na bei gani mkuu??nataka hiki kifurushi kwa ajili ya staff,tupo kama watu 30 hv,vipi itanifaa??
Sent from my Pixel 4a using JamiiForums mobile app
Dial *#06# and press callNje ya mada kidogo wajameni mara nyingi nimekuwa nikipata sms kutoka tigo kiwa simu yangu ina uwezo wa eSIM kwamba niende kweny maduka yao ili kujisajili niitumie huduma ya hiyo swali langu ni je?
Simu yangu ni Tecno Camon 20 pro ina hii huduma ya eSIM kweli? kama tigo wanavyoniambia?? Kwa anaefahamu au anaejua aniangalizie maana naogopa kupoteza mda kwenda kumbe iwe haina, Asanteni sana wadau na karibuni kwa majibu.. Naachia laini.
Mkuu seed NI watu wenye io file na wanaweza kushare nayoyote anaye litaka (download) kutokana na mfumo wa torrent kuwa ni p2p (mtu na ntu )yaani file aliwi hosted kwa server Bali ao seeders ndo wanaokuwa nahilo file(movie,tv show etc) na ppia torrent client zinakuwa zinadownload kutokana kwa multiple seedersSamahanini kwa kuchelewa kuleta mrejesho kuhusu routers za bure Airtel eti kwamba unalipia kifurushi Tu. Nilipitia matatizo sikuweza kwenda ofisin Airtel juz tarehe 3 nimeenda wakasema hatukuelewana nikaona ni miyeyusho Tu. Nikawaambia nitarudi kuchukua hiyo ya 110k.
Kabla sijafanya maamuzi naomba ushauri kuhusu 5g ya Airtel na 5g ya voda nichukue ipi. Mm nipo mwanza mini lakin wote hao hawajatufikia 5g. Hatuna huduma ya 5g mwanza mzima, lakin shinyanga na musoma IPO tayari (nimeshangaa kwa kweli jiji kukosa hii huduma) lakin router zao zipi changamoto sijajua nichukue ipi isio sumbua mambo ya kupoteza signal pia nataka router yenye power bank Airtel hapa kaniwin sijajua Vodacom kama Wana router yenye powerbank.
Pia naomba msaada wa nje ya mada, katika kusoma comment nilipo ishia nimekutana na comments zinazoelezea mambo ya seeds ukiwa unapakuwa movie naomba kujua hizo seeds ndo nini? Ntatumia stremio muda kupakua season na muvie lakin sijui seeds ndo nini.
Pia naomba msaada kwa watumiaji wa stremio kupata torrent ya kudownload movie za kibongo na kiafrika kama hizi kwenye link au sehemu yeyote pakuzipata nidownload Advanced search asanteni