Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndio mkuu wakiona unakaribia kumaliza mwezi wanafanya uhuniVoda nao wanamchezo wa kupunguza speed?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu wakiona unakaribia kumaliza mwezi wanafanya uhuniVoda nao wanamchezo wa kupunguza speed?
Hawa wanatufaa sana yaaniZina batter ya moja kwa moja ambayo inakuwa ndani.
Battery yao wanadai nayo ina last kwa masaa 8 up to 10
Bei gani mkuu?Updates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
Hicho kifurushi unaunga mwenyewe au mpaka aliyekuuzia?Updates
Nimeletewa Router ya HalotelView attachment 3044003Na speed yake ni kama ifuatavyo.View attachment 3043995
Bei ni 200KBei gani mkuu?
Aliniungia ila haina maana kikiidha nitalazimika kumsumbua anilipie.Hicho kifurushi unaunga mwenyewe au mpaka aliyekuuzia?
Menu yake ipoje?Aliniungia ila haina maana kikiidha nitalazimika kumsumbua anilipie.
Naweza kuunga hata mimi mwenyewe
Muda huu:
Shukrani mkuu, ila eneo nililoko hakuna 5G..Muda huu:
View attachment 3044276
View attachment 3044277
-
Ule muda ambao unaata speed ndogo kabisa, Jaribu kuweka hii setting na ngalia iwapo speed itabadilika.
View attachment 3044278
Jaribu kutoa line kisha uiweke tenaLeo asubuhi mtandao umekata ghafla, kile kitaa cha laini hakiwaki
Shida itakua nini hapa
View attachment 3044336
Mlishaonywa toka zamaniAirtel router 5G,
Zanzibar kuanzia saa moja jion mpka saa nne...internet ni mbovu mno...
Msiseme sijawajuza
Airtel ni bure kabisaa, router ni nzima,shida naona wameshazilimit hizi,Mlishaonywa toka zamani
Mkuu tupe tathmini ya performance ya walau masaa 24 tangu uanze kutumia router ya halotelJaribu kutoa line kisha uiweke tena
Wahuni tu naoVoda nao wanamchezo wa kupunguza speed?
Kuna mtu nimempa aitumie wakati nikisubiria hii ya Airtel kifurushi kiishe tarehe 24Mkuu tupe tathmini ya performance ya walau masaa 24 tangu uanze kutumia router ya halotel
Kwa kuwa sitaki kubishana leo ngoja nikupe ushindi japo najua nilichokiandika nina uhakika nacho asilimia 100%... Sawa mkuu🤝🙌Sio sahihi mkuu speed ya downlaod na upload haziunganishwi zipo separate ndio maana ukifanya speed test itakupa ya download na upload mfano utashusha kwa speed ya 20mbps ila ukifanya upload ni 10mbps sio 30mbps ingekua hivyo mbona ingekua furaha sana 🤣🤣🤣