Tempest
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 245
- 430
Hii unlimited ya mtandao gani mkuu?ndio ila ikifka 75GB wana punguza speed had 500kb/s ukifka 120GB wanpunguza tena nime sahau had ngap ila ndo hvo
Nna miezi 4 sasa natumia zaidi ya 500GB kila mwezi , speed kuna mara chache inawezankuwa chini lakini haikai sana inarejea, natumia airtel