Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Basi kuna namna ambayo wameamua kunifanyia ufuskaSpeed haijawahi kushuka zaidi ya ile mida ambayo kila mtu analalamika hata wale wenye laini za kawaida za kwenye simu..
View attachment 3088612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kuna namna ambayo wameamua kunifanyia ufuskaSpeed haijawahi kushuka zaidi ya ile mida ambayo kila mtu analalamika hata wale wenye laini za kawaida za kwenye simu..
View attachment 3088612
Vipo vya mda mrefu zaidi ya mwezi kwa bei za kitanzania?Naunga pia halotel tu 5gb kwa 5000 siku 14
gb 10 elf10 siku 30
kuanzia gb 10 na kuendelea nakuunga cha mwezi
Itakuwa wana limitations kweli kama ulivyosema hapo juuBasi kuna namna ambayo wameamua kunifanyia ufuska
Lakini mbona kwako hiyo haikutokei?Itakuwa wana limitations kweli kama ulivyosema hapo juu
kaka wataalam wa hizo kazi wamesema ni Gb 8 kwa 5,000 wiki 2Naunga pia halotel tu 5gb kwa 5000 siku 14
gb 10 elf10 siku 30
kuanzia gb 10 na kuendelea nakuunga cha mwezi
Hebu ngoja nifanye ka research mwezi huu nione hali itakuwaje...Lakini mbona kwako hiyo haikutokei?
Wakikupa jibu tupe feedback wanasemaje🙂
Naunga mkono hojaWakikupa jibu tupe feedback wanasemaje🙂
vilikuwepo vya miezi 6 naona vimetokaVipo vya mda mrefu zaidi ya mwezi kwa bei za kitanzania?
TTCL wameniwekea Wavetel G3600Tunaomba model no ya router waliyokupa, au hata picha yake.
Sema hawa TTCL jau sana niliomba huduma yao May mwaka 2022 wakaleta nguzo December mwaka 2023 hawakutokea tena mpaka leo.TTCL wameniwekea Wavetel G3600
Hii scenario ni rahisi kuielewa ukiwa na Kinokia cha zamani.Sasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.
Hiki kitu kinawezekana kweli?
Ambao hawakutumia vitochi hawawezi elewa..Hii scenario ni rahisi kuielewa ukiwa na Kinokia cha zamani.
Ila kwa ufupi tu ni hivi. message za kawaida huwa zina limit ya characters 160. Hivyo ukiandika herufi pamoja space zikizidi tu 160 hapo inahesabu kama message 2 katika message moja (multi-part message).
Herufi na space zinavyozidi kuwa nyingi ndivyo vipande vya message vinazidi kuwa vingi.
Mfano salio una message 10.
Ukaandika sms yenye urefu wa characters 200 ukaituma, ukija kuangalia salio tena utakuta umebakiwa na message 8
Fiber kwa tulio nje ya mji ni mtihaniSasa faida ya hizo backbone za materabyte ni nini? Jisogeze Fiber tu mkuu kama matumizi yako yapo eneo moja.
Wakuu shida sio characters, kwani characters zikiisha kuingia sms ya pili na kuendelea si hata smartphone inaonesha.Hii scenario ni rahisi kuielewa ukiwa na Kinokia cha zamani.