Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Jamaa miyeyusho sanaMi niliuza ya Halotel nilipoona wananiuzia godoro halafu wananinyima usingizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa miyeyusho sanaMi niliuza ya Halotel nilipoona wananiuzia godoro halafu wananinyima usingizi.
baba ni kwel au ndo yule mshenzi aliniuzia lain ikiwa imesha pewa access 🤣 nimepigwa ya 70kFolks
Good news
Sasa ni rasmi kila Router imepewa access ya kifurushi cha 70K
Unaweza kucheki kwenye menu kama kipo
View attachment 3127488
😂😂baba ni kwel au ndo yule mshenzi aliniuzia lain ikiwa imesha pewa access 🤣 nimepigwa ya 70k
bei zinaendaje na vifurushi vinaendaje?Kuna ukweli wowote sasa hivi TTCL kukuungia fiber wanalazimisha uchukue na simu ya Mezani?
Wanataka kuachieve nini?Kuna ukweli wowote sasa hivi TTCL kukuungia fiber wanalazimisha uchukue na simu ya Mezani?
Kuna mtu nilimuombea internet ya 55,000 wakawapelekea waya, wa kasema Router zimeisha, leo wamemmpigia simu router zimerudi ila wanalazimisha uwekewe na simu ya Mezani kwa extra cost ambazo hazijawa specific. Sijajua ni official ama uhuni tu wa watoa huduma.bei zinaendaje na vifurushi vinaendaje?
Hapa afisa mauzo atafute wateja wa simu kihalali,Kuna mtu nilimuombea internet ya 55,000 wakawapelekea waya, wa kasema Router zimeisha, leo wamemmpigia simu router zimerudi ila wanalazimisha uwekewe na simu ya Mezani kwa extra cost ambazo hazijawa specific. Sijajua ni official ama uhuni tu wa watoa huduma.
Duh! Ila kwa jinsi nilivyokuwa desperate. Ningesema tu: “Sawa leteni na hilo lisimu lenu” 😂Kuna mtu nilimuombea internet ya 55,000 wakawapelekea waya, wa kasema Router zimeisha, leo wamemmpigia simu router zimerudi ila wanalazimisha uwekewe na simu ya Mezani kwa extra cost ambazo hazijawa specific. Sijajua ni official ama uhuni tu wa watoa huduma.
Mshauri achukue tu then afungiwe hiyo fiber. Maana mchakato ni mrefu sana mpaka anaipataKuna mtu nilimuombea internet ya 55,000 wakawapelekea waya, wa kasema Router zimeisha, leo wamemmpigia simu router zimerudi ila wanalazimisha uwekewe na simu ya Mezani kwa extra cost ambazo hazijawa specific. Sijajua ni official ama uhuni tu wa watoa huduma.
Wamenyoosha mikono, hii safi. Wafike maeneo mengi sasa sio kila siku mbezi beach na upangaView attachment 3129037
Naona Tigo wamekuja na hii. Sasa sijui ni promotion tu kuvutia wateja ama ni endelevu. FTTX competition now is on another level
Bora hata waweke competition ili TTCL washtuke watoe huduma kwa harakaView attachment 3129037
Naona Tigo wamekuja na hii. Sasa sijui ni promotion tu kuvutia wateja ama ni endelevu. FTTX competition now is on another level
TTCL ipi?Bora hata waweke competition ili TTCL washtuke watoe huduma kwa haraka
Mitandao ya simu hawapo mjini, kuna mdau alisema Tigo wameanza Goba, Voda wapo Sinza na Halotel Kigamboni. Mjini kumejaa players wa kutosha.Wamenyoosha mikono, hii safi. Wafike maeneo mengi sasa sio kila siku mbezi beach na upanga
Hii nzuriMitandao ya simu hawapo mjini, kuna mdau alisema Tigo wameanza Goba, Voda wapo Sinza na Halotel Kigamboni. Mjini kumejaa players wa kutosha.
Uhakika hii? Maana speed ya Tigo imeshuka vibaya mno mjini, Hata sijaangalia band gani wanatumia.Tangu Rosti tamu achukuwe Jahazi naona wamefungua minara ya mobitel wamehamia Infrastructure za TTCL so speed ya usambazaji itakuw kubwa
ni kweli kabisa walishafungua minara ya Tigo kama location haina mnara wa ttcl wameweka kwa airtelUhakika hii? Maana speed ya Tigo imeshuka vibaya mno mjini, Hata sijaangalia band gani wanatumia.
Biashara za kipuuzi hizi, kwa hio sasa hivi ukikata Mtandao mmoja inakata yote. Sasa si bora uhamie Airtel mazima kuliko kupewa priority ya pili.ni kweli kabisa walishafungua minara ya Tigo kama location haina mnara wa ttcl wameweka kwa airtel
Biashara ni connection meku