Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

bei zinaendaje na vifurushi vinaendaje?
Kuna mtu nilimuombea internet ya 55,000 wakawapelekea waya, wa kasema Router zimeisha, leo wamemmpigia simu router zimerudi ila wanalazimisha uwekewe na simu ya Mezani kwa extra cost ambazo hazijawa specific. Sijajua ni official ama uhuni tu wa watoa huduma.
 
Duh! Ila kwa jinsi nilivyokuwa desperate. Ningesema tu: “Sawa leteni na hilo lisimu lenu” 😂

Kwahiyo hii sio suggestion tena ni amri:
 
Attachments

  • IMG_3674.jpeg
    IMG_3674.jpeg
    1.1 MB · Views: 12
Kuna mtu nilimuombea internet ya 55,000 wakawapelekea waya, wa kasema Router zimeisha, leo wamemmpigia simu router zimerudi ila wanalazimisha uwekewe na simu ya Mezani kwa extra cost ambazo hazijawa specific. Sijajua ni official ama uhuni tu wa watoa huduma.
Mshauri achukue tu then afungiwe hiyo fiber. Maana mchakato ni mrefu sana mpaka anaipata
 
Wamenyoosha mikono, hii safi. Wafike maeneo mengi sasa sio kila siku mbezi beach na upanga
Mitandao ya simu hawapo mjini, kuna mdau alisema Tigo wameanza Goba, Voda wapo Sinza na Halotel Kigamboni. Mjini kumejaa players wa kutosha.
 
Tangu Rosti tamu achukuwe Jahazi naona wamefungua minara ya mobitel wamehamia Infrastructure za TTCL so speed ya usambazaji itakuw kubwa
 
Uhakika hii? Maana speed ya Tigo imeshuka vibaya mno mjini, Hata sijaangalia band gani wanatumia.
 
Back
Top Bottom