Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapana Nilikuwa Natumia Tigo na Airtel Ilkuwa Ni Free net na nilikuwa Naingia Kila sehemu na Nilikuwa Sijawahi kulipa tigo internet na Airtel nina mwaka na sehemu mpaka walipozifungia
Watu wajinga walichomesha.. kwa socksip speed ilikua inafika MB 20 na ilikua ni UDP.. watu walirepot sana wiretun miaka ya nyuma uko na haikufungiwa ila wadau walipoanza kutumia vps na socksip(built-in servers) haikuchukua mda
 
ndio ila gharama ni kubwa sana... mfano zipo host kama nne ila hadi ufanikiwe kuzipotisha unaweza tumia zaidi ya $25 😄
Duh Aisee kweli Sema IT mnatuangusha sana...
Inatakiwa Mtoe hata Mbili au tatu za Tigo na mitandao mingine hawawezi kuzigunga zote
 
Juzi nilijilipua na airtel kifurushi cha elfu 70 mbps 10,so far naenjoy kutegemea na ninapoishi na ile internet ya kadlsi internet ya voda kifurushi cha elfu 50 wanakupa gb 24 zikiisha speed inapungua,24 kwangu gb 24 zilikua zinaisha siku 2 halafu zinabaki siku 28 za mateso
Screenshot_20241116_084817_Speedtest.jpg
 
Juzi nilijilipua na airtel kifurushi cha effu 70 mbps 10,so far naenjoykutegemea na ninapishi na ile internet ya kadlsi interneet ya voda kifurushi cha elfu 50 wanakupa gb 24 zikiisha speed inapungua,24 kwqngu gb 24 zilikua zinaisha siku 2 halafu zinabaki siku 28 za matesoView attachment 3153513
Hii nzuri sana sema tatizo serikali ilivyo anza tamaa ya kuingilia huku naona speed skuizi wanaichezea wanavyotaka hao ukifikisha gb 400 speed ndogo
 
Hii nzuri sana sema tatizo serikali ilivyo anza tamaa ya kuingilia huku naona speed skuizi wanaichezea wanavyotaka hao ukifikisha gb 400 speed ndogo
Serikali inaingiaje, mkuu? Maana hii hainiingi akilini, kwa nini serikali iwaambie Airtel waweke kikomo lakini wasiwape masharti hayo hayo Vodacom na Tigo (ambao nao pia wanatoa huduma hii hii)?
 
Back
Top Bottom