Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nimechukua Airtel Shop huku Dodoma! Speed 30mbps ila baada ya hapo nimeambiwa naweza kulipia 70k
Ninaomba unijuze zaidi maana ningependa kumnunulia mtu hii router. Nilighairi mwanzoni maana sikutaka kulipa 200,000 ya kifaa pamoja na malipo ya kifurushi.

Je, wanahitaji vitu gani mfano. wanahitaji Tin ya biashara au nyaraka nyingine? Au unalipa tu hiyo 110,000 na unapatiwa kifaa? Kuna mkataba wowote umesaini?
 
NIDA na 110,000
 
Mwezi uliopita nikasema ngoja nijaribu kulipia kifurushi cha 70K nione upepo wake.

Nikalipia, ilipofika jana tu speed ikawa 0.89Mbps.

Kucheki usage nakuta ni 500GB

Hawa jamaa wanaudhi sana na huu mfumo wao wa throttling yani wakishakupunguzia speed kuna moment hata kufungua tu JF ni msala.
 
😃😃😀😃😃😃😃
 
Karibuni mniungishe wakuu natoa gb 10 kwa elfu 10 siku 30 na gb 13 kwa elfu 13 siku 30
Mtandao ni halotel pekee naunga hii ofa
Najua wengi mnatamani kupata bando za bei nafuu na ambazo ni affordable maana sikuhizi pia kumekua na watu wanaosema wanaunga mabando hewa kumbe wengi ni matapeli.

Kwangu uaminifu 100%
Uhakika ni 100%
Changamoto: Limit yangu ya kuunga bando kwa siku ni watu 10 tu kwahiyo mtu inabidi awahi sana kunicheki

Karibuni nichek kwa whats-app namba 624-088-380- pia normal text na calls.
IMG-20241124-WA0004.jpeg
IMG-20241124-WA0003.jpeg
IMG-20241124-WA0002.jpeg
IMG-20241124-WA0005.jpeg
 
Karibuni mniungishe wakuu natoa gb 10 kwa elfu 10 siku 30 na gb 13 kwa elfu 13 siku 30
Mtandao ni halotel pekee naunga hii ofa
Najua wengi mnatamani kupata bando za bei nafuu na ambazo ni affordable maana sikuhizi pia kumekua na watu wanaosema wanaunga mabando hewa kumbe wengi ni matapeli.

Kwangu uaminifu 100%
Uhakika ni 100%
Changamoto: Limit yangu ya kuunga bando kwa siku ni watu 10 tu kwahiyo mtu inabidi awahi sana kunicheki

Karibuni nichek kwa whats-app namba 624-088-380- pia normal text na calls.View attachment 3160093View attachment 3160094View attachment 3160096View attachment 3160097
Skuizi tunatumia unlimited mkuu
 
Nje ya mada wataalam:
Mwezi uliopita nilipata email kutoka "Perfect Money" kwamba wanasitisha hufuma nchini tanzania hivo hakutakua na uwezo wa kufungua account mpya, verifications na wakatoa muda wa kuhakikisha kama una pesa uitoe.

Leo nimeona email ya "Addidas running App" kwamba nao wametoa hadi kugikia january 15 hivi mwakani app haitaweza fanya kazi nchini na data zote za mikimbio zitafutwa.

Hii inaashiria nini katika teknolojia na policy za nchi

cc Mwl.RCT Chief-Mkwawa
 
Hawa jamaa wanaonekana hawako legit kk, rungu la BOT litakuwa limewapitia.

IMG_20241207_065342.jpg
 
Nje ya mada wataalam:
Mwezi uliopita nilipata email kutoka "Perfect Money" kwamba wanasitisha hufuma nchini tanzania hivo hakutakua na uwezo wa kufungua account mpya, verifications na wakatoa muda wa kuhakikisha kama una pesa uitoe.

Leo nimeona email ya "Addidas running App" kwamba nao wametoa hadi kugikia january 15 hivi mwakani app haitaweza fanya kazi nchini na data zote za mikimbio zitafutwa.

Hii inaashiria nini katika teknolojia na policy za nchi

cc Mwl.RCT Chief-Mkwawa
Hawa adidas hata mimi wamenitumia sijui shida nini.
 
Back
Top Bottom