Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndio kakathanks. kwa hiyo haina tofauti na zile zilikuwa zinauzwa 200k? lengo nataka niuze mtaani kwa buku buku per day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kakathanks. kwa hiyo haina tofauti na zile zilikuwa zinauzwa 200k? lengo nataka niuze mtaani kwa buku buku per day
Nimeenda kuchukua jana kwa laki na kumi nikaambiwa nitalipia 70k kuanzia mwezi ujaowakuu kuna matangazo ys router ya airtel 5g inauzwa 110,000/ unatumia mwezi mmoja free baadae unalipa 70k kwa 10Mbs.... hii ina ukweli kiasi gani nisije kupigwa?
Kwahyo lazma kila mwezi nilipie 70k?Ndio kaka
umechukulia airtel shop? kwa hiyo 110k speed ni 10mbs au 30mbs?Nimeenda kuchukua jana kwa laki na kumi nikaambiwa nitalipia 70k kuanzia mwezi ujao
sio lazima hata ikipita miezi kadhaa haina deniKwahyo lazma kila mwezi nilipie 70k?
Nimechukua Airtel Shop huku Dodoma! Speed 30mbps ila baada ya hapo nimeambiwa naweza kulipia 70kumechukulia airtel shop? kwa hiyo 110k speed ni 10mbs au 30mbs?
Ninaomba unijuze zaidi maana ningependa kumnunulia mtu hii router. Nilighairi mwanzoni maana sikutaka kulipa 200,000 ya kifaa pamoja na malipo ya kifurushi.Nimechukua Airtel Shop huku Dodoma! Speed 30mbps ila baada ya hapo nimeambiwa naweza kulipia 70k
Sio lazima nduguKwahyo lazma kila mwezi nilipie 70k?
NIDA na 110,000Ninaomba unijuze zaidi maana ningependa kumnunulia mtu hii router. Nilighairi mwanzoni maana sikutaka kulipa 200,000 ya kifaa pamoja na malipo ya kifurushi.
Je, wanahitaji vitu gani mfano. wanahitaji Tin ya biashara au nyaraka nyingine? Au unalipa tu hiyo 110,000 na unapatiwa kifaa? Kuna mkataba wowote umesaini?
NIDA na 110,000
😃😃😀😃😃😃😃Mwezi uliopita nikasema ngoja nijaribu kulipia kifurushi cha 70K nione upepo wake.
Nikalipia, ilipofika jana tu speed ikawa 0.89Mbps.
Kucheki usage nakuta ni 500GB
Hawa jamaa wanaudhi sana na huu mfumo wao wa throttling yani wakishakupunguzia speed kuna moment hata kufungua tu JF ni msala.
Skuizi tunatumia unlimited mkuuKaribuni mniungishe wakuu natoa gb 10 kwa elfu 10 siku 30 na gb 13 kwa elfu 13 siku 30
Mtandao ni halotel pekee naunga hii ofa
Najua wengi mnatamani kupata bando za bei nafuu na ambazo ni affordable maana sikuhizi pia kumekua na watu wanaosema wanaunga mabando hewa kumbe wengi ni matapeli.
Kwangu uaminifu 100%
Uhakika ni 100%
Changamoto: Limit yangu ya kuunga bando kwa siku ni watu 10 tu kwahiyo mtu inabidi awahi sana kunicheki
Karibuni nichek kwa whats-app namba 624-088-380- pia normal text na calls.View attachment 3160093View attachment 3160094View attachment 3160096View attachment 3160097
Hawa jamaa wanaonekana hawako legit kk, rungu la BOT litakuwa limewapitia.Nje ya mada wataalam:
Mwezi uliopita nilipata email kutoka "Perfect Money" kwamba wanasitisha hufuma nchini tanzania hivo hakutakua na uwezo wa kufungua account mpya, verifications na wakatoa muda wa kuhakikisha kama una pesa uitoe.
Leo nimeona email ya "Addidas running App" kwamba nao wametoa hadi kugikia january 15 hivi mwakani app haitaweza fanya kazi nchini na data zote za mikimbio zitafutwa.
Hii inaashiria nini katika teknolojia na policy za nchi
cc Mwl.RCT Chief-Mkwawa
Hapa sawa , nilidhsni tumeanza fungia fungia
Hawa adidas hata mimi wamenitumia sijui shida nini.Nje ya mada wataalam:
Mwezi uliopita nilipata email kutoka "Perfect Money" kwamba wanasitisha hufuma nchini tanzania hivo hakutakua na uwezo wa kufungua account mpya, verifications na wakatoa muda wa kuhakikisha kama una pesa uitoe.
Leo nimeona email ya "Addidas running App" kwamba nao wametoa hadi kugikia january 15 hivi mwakani app haitaweza fanya kazi nchini na data zote za mikimbio zitafutwa.
Hii inaashiria nini katika teknolojia na policy za nchi
cc Mwl.RCT Chief-Mkwawa