Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Voda wameanza kulegeza, soon nadhani itakuwa official adi watimiaki wa kawaida ni FWE
Screenshot_20241209-200257~2.png
 
Hodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact

Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
 
Hakuna mkuu, vya bure sio reliable 100%, labda ununue IPTV services, nazo pia hazina uhakika 100% ila angalau.
 
Mkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
 
Hodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact

Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Mimi ni mdau wa movies na series sana ila mpira kiasi tu pale napo kuta upo na angalia. Natumia internet ya 70k toka Airtel na IPTV package moja toka South Africa kwa 8usd kwa mwezi nikilipia kwa miezi 6 inakuwa 40usd au mwaka 80usd. ndani napata super sports zote HD version plus Azam 1,2,3. Plus other DSTv channels. Pia ndani napata SEries na movies zote latest za HBO, Hulu, Netflix, Apple Tv, etc. So via Airtel 70k na IPTV 8usd swala la soka na movies nimemaliza kero za kudownload nimeacha na miezi kama sita sasa. Inshort hii package buffering chache sana
 
Mkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
Upo sahihi ukiwa na net kwa sasa karibu kila kitu ni free plus kama ni tv uwe na reliable android box huto juta maisha
 
Mimi ni mdau wa movies na series sana ila mpira kiasi tu pale napo kuta upo na angalia. Natumia internet ya 70k toka Airtel na IPTV package moja toka South Africa kwa 8usd kwa mwezi nikilipia kwa miezi 6 inakuwa 40usd au mwaka 80usd. ndani napata super sports zote HD version plus Azam 1,2,3. Plus other DSTv channels. Pia ndani napata SEries na movies zote latest za HBO, Hulu, Netflix, Apple Tv, etc. So via Airtel 70k na IPTV 8usd swala la soka na movies nimemaliza kero za kudownload nimeacha na miezi kama sita sasa. Inshort hii package buffering chache sana
hii iptv unayotumia kuna demo?
 
Mkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
Hata mimi natumia ila hakuna service ya bure yenye reliability ya Dstv,
 
Back
Top Bottom