Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
nimepiga search kadhaa nimebaini kwamba kampuni yenyewe imeamua kufanya hivo katika nchi kadhaa. ilikua app nzuri sanaHawa adidas hata mimi wamenitumia sijui shida nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimepiga search kadhaa nimebaini kwamba kampuni yenyewe imeamua kufanya hivo katika nchi kadhaa. ilikua app nzuri sanaHawa adidas hata mimi wamenitumia sijui shida nini.
Inakuwaje Mbps 10 na 20 ziwe bei moja?Voda wameanza kulegeza, soon nadhani itakuwa official adi watimiaki wa kawaida ni FWE
View attachment 3173855
Hii huduma ni Hospitali tu ama hata Maofisi na Wafanyabiashara wengine? Na ni 5G ama Fiber?Voda wameanza kulegeza, soon nadhani itakuwa official adi watimiaki wa kawaida ni FWE
View attachment 3173855
Aisee mpaka nimeanza kukuna kichwaInakuwaje Mbps 10 na 20 ziwe bei moja?
Hakuna mkuu, vya bure sio reliable 100%, labda ununue IPTV services, nazo pia hazina uhakika 100% ila angalau.Hodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact
Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Sawa sawa shukrani sana mkuuHakuna mkuu, vya bure sio reliable 100%, labda ununue IPTV services, nazo pia hazina uhakika 100% ila angalau.
Wameanza na Shule na Hospitali za Serekali kwanza, ni 5GHii huduma ni Hospitali tu ama hata Maofisi na Wafanyabiashara wengine? Na ni 5G ama Fiber?
Wameanza na Shule na Hospitali za Serekali kwanza, ni 5G
Mkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .Hakuna mkuu, vya bure sio reliable 100%, labda ununue IPTV services, nazo pia hazina uhakika 100% ila angalau.
Mimi ni mdau wa movies na series sana ila mpira kiasi tu pale napo kuta upo na angalia. Natumia internet ya 70k toka Airtel na IPTV package moja toka South Africa kwa 8usd kwa mwezi nikilipia kwa miezi 6 inakuwa 40usd au mwaka 80usd. ndani napata super sports zote HD version plus Azam 1,2,3. Plus other DSTv channels. Pia ndani napata SEries na movies zote latest za HBO, Hulu, Netflix, Apple Tv, etc. So via Airtel 70k na IPTV 8usd swala la soka na movies nimemaliza kero za kudownload nimeacha na miezi kama sita sasa. Inshort hii package buffering chache sanaHodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact
Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Upo sahihi ukiwa na net kwa sasa karibu kila kitu ni free plus kama ni tv uwe na reliable android box huto juta maishaMkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
hii iptv unayotumia kuna demo?Mimi ni mdau wa movies na series sana ila mpira kiasi tu pale napo kuta upo na angalia. Natumia internet ya 70k toka Airtel na IPTV package moja toka South Africa kwa 8usd kwa mwezi nikilipia kwa miezi 6 inakuwa 40usd au mwaka 80usd. ndani napata super sports zote HD version plus Azam 1,2,3. Plus other DSTv channels. Pia ndani napata SEries na movies zote latest za HBO, Hulu, Netflix, Apple Tv, etc. So via Airtel 70k na IPTV 8usd swala la soka na movies nimemaliza kero za kudownload nimeacha na miezi kama sita sasa. Inshort hii package buffering chache sana
Ndio Mkuu ipo 7days trial then utalipia, na hata ukilipia after 2 days of trial wana ongeza na remaining days kwenye package yako. Waka TV | Enjoy our 7-days Free Trial NOW!hii iptv unayotumia kuna demo?
Hata mimi natumia ila hakuna service ya bure yenye reliability ya Dstv,Mkuu mbona watu wanatumia sana , mi naoma internet ni kila kitu kwa sasa, application zipo kibao kwa sasa kama una uhakika wa mtandao huwezi kukosa kitu , iwe mpira , na michezo mingine. Labda usiwe mjanja mjanja .
shukrani ngoja niitestNdio Mkuu ipo 7days trial then utalipia, na hata ukilipia after 2 days of trial wana ongeza na remaining days kwenye package yako. Waka TV | Enjoy our 7-days Free Trial NOW!
naam, vitu vya online hivi kuna siku vinafeli unasaka link mpaka uje kupat kitu stable watu waneenda half timeHata mimi natumia ila hakuna service ya bure yenye reliability ya Dstv,
wewe mdau wa nini nikupe ya bure moja uwakikaHata mimi natumia ila hakuna service ya bure yenye reliability ya Dstv,