Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Awe bikra hapo hapo awe” mzuri” na awe na kazi (Kipato). Ningekuambia kitu ila basi tu.

Ila mnatukoroga sisi ma jobless, jana tu si mmetoka kusema mwanamke mwenye kazi ni mwanaume mwenzenu muoe ambaye hana kazi?

Amehlo tujipange upya sasa[emoji23][emoji23]
Njoo nikuajiri uwe na vigezo kamili.
 
Awe bikra hapo hapo awe” mzuri” na awe na kazi (Kipato). Ningekuambia kitu ila basi tu.

Ila mnatukoroga sisi ma jobless, jana tu si mmetoka kusema mwanamke mwenye kazi ni mwanaume mwenzenu muoe ambaye hana kazi?

Amehlo tujipange upya sasa😂😂
njoo baby tuongee achana na mleta uzi Hannah ina nambato hatari
 
VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050

Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli

Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha.

Wanaume nitawagawa katika makundi matatu kulingana na umri kama ifuatavyo;
1. Wanaume wenye Miaka 20 - 35
2. Wanaume Wenye miaka 36 - 50
3. Wanaume wenye miaka 51 -. 85

1. Wanaume wenye Miaka 20-35
Ikiwa upo katika age hiyo na unatafuta Mke wa kuoa basi vigezo na sifa zifuatazo ni lazima, nasisitiza ni lazima uzingatie VIGEZO hivi ili ndoa na maisha ya familia yako yawe na furaha.
Vigezo na sifa hizo ni kama ifuatavyo;

Piga ua garàgaza, ukiwa na miaka kati ya miaka 20 - 35 na unatafuta kuoa basi hakikisha unaoa Mwanamke Bikra.
Elewa kama ilivyo ngumu kupata Mwanamke Bikra ndivyo hivyohivyo ni ngumu kuishi kwa furaha na Mwanamke asiye Bikra.
Elewa kuwa karne hii uzinzi na uasherati upo kwa kiwango cha juu kabisa.
Matumizi ya P2, utoaji wa mimba kwa kiwango cha kutisha, matumizi ya madawa na teknolojia ya kuzuia mimba yanaathari kubwa katika familia utakayoianzisha.
Sijazungumzia mambo ya kihisia kuhusu umuhimu wa bikra kwani Jokajeusi alivyokwisha kueleza.

Ni ngumu ukioa Mwanamke Bikra akasumbua kwenye mambo ya ujauzito, sijui homoni imbalance,
Elewa kuwa ukioa mke Bikra hakuna msamiati Ex kwani wewe ndio namba moja. Na wewe ndio utakuwa Ex wake wa kwanza ikiwa mtaachana.

Elewa kuwa ukioa Mwanamke Bikra hana makovu ya kihisia ya kutendwa hivyo wewe ndiye utakuwa muongozo wake. Hivyo wewe ndiye mwalimu wake namba moja. Hivyo kuanguka kwake itagemea na wewe lakini ukioa asiye na bikra huna utakachomfundisha kwani tayari msingi walijenga wengine. Hayo maelezo walishaelezaga wadau humu.

Ingawaje nampingaga Jokajeusi kuwa Bikra sio kila kitu lakini kwa umri wako kijana bikra inanafasi kwa zaidi ya asilimia 70

Mwanamke sifa yake kuu ni uzuri. Kuna Mwanamke alafu kuna Mke.
Kigezo cha uzuri katika kutafuta Mke hakitakuja kuondolewa kwa sababu huo ndio sababu ya Mwanamke kuitwa Mwanamke.
Lazima uoe Mwanamke mzuri. Inyeshe mvua Liwake jua. Achana na wale wanaoogopa Wanawake wazuri. Wakisingizia kuoa tabia njema.
Tabia njema ni sehemu ya seti ya lazima katika kuchagua mke lakini haiondoi sifa ya uzuri wa Mwanamke.
Lazima uoe mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri.
Asije akakudanganya kuwa hao wanawake hawapo. Wanaosema hivyo ni waongo na usijifunze kwa Watu walioshindwa.
Hujawahi kuona Mtu fulani Mke wake ni mzuri, anatabia njema, anaelimu nzuri, na anafanya kazi yenye kipato?
Kama hujawahi kuona njoo nikuonyeshe.
Usisikilize maneno ya Watu walioshindwa ndio maneno yao hayo.

Sio kipato chako. Hapana kipato chake binafsi.
Kijana ukiwa katika umri huo. Lazima uchague Mwanamke mwenye sifa nilizotaja hapo juu na hii. Zote kwa pamoja.
Mwanamke kama hana kipato uzuri wake hauna maana yoyote kwako. Hakuamini kitu kizuri kikawa maskini, hakizalishi kipato na hakijitegemei. Hakuna uzuri wa hivyo.
Bikra, uzuri, kipato.

Mwanamke asiye na kipato huwaga namfananisha na nyumba isiyo na ghala la chakula. Lazima atakuwa tuu mnafiki, Malaya na mnyonyaji.
Mwanamke Mzuri, mwenye kipato na bikra mkikaa mnajadili vitu pasipo kuburuzwa.
Unauwezo wa kumuachia watoto wako na ukajua wako mikono salama.

Unaishi kwa raha. Sio ukiumwa kidogo unapata presha kuwa ukifa itakuwaje watoto watateseka.
Raha ya kufa ufe ukiwa na tumaini kuwa uliowaacha wako katika mikono salama ya Mwanamke anayejua nini chakufanya.

Ogopa Mwanamke asiye na kipato.
Ndoa itakuwa utapeli kama wadau dronedrake na wenzake wasemavyo.

4. Imani ya Mungu.
Mwanamke yeyote mwenye imani na Mungu anajua umuhimu wa kuolewa akiwa Bikra. Hiyo weka akilini kabisa.
Kwa umri huu huna haja ya kuuliza ilikuwaje huna Bikra. Swali hilo watauliza wakubwa zako wenye umri kuanzia miaka 36-50 hao ndio wanaruhusa ya kuoa Wasio na bikra.

2. Wanaume wenye miaka 36- 50
Hawa ni wakaka wakubwa na Wababa fulani hivi.
Hawa ndio wanaruhusa ya kuoa Wanawake wasio na bikra lakini hiyo haimaanishi waoe wanawake single Mothers(Yaani wenye watoto).

Vigezo vingine ni vilevile kama wenye miaka 20-35. Hawa tofauti yao ni kuwa wanaruhusiwa kuoa Wasio na bikra lakini wasiwe single Mothers.

3. Wanaume wenye miaka 51-85
Umri huu kila kitu kwenye maisha yako kitakuwa bayana. Yaani kama ni future yako itakuwa wazi machoni mwako.
Umri huu kama utahitaji kuoa basi unaruhusiwa kuoa Mwanamke Mwanamke asie na bikra na mwenye watoto ukipenda, pia waruhusiwa kuoa Mjane yaani Mwanamke aliyekwisha wahi kuolewa.

Zingatia; wakati unafanya jambo hili, uwe ushaweka mambo yako sawa kwa watoto wako ili baadaye isijeleta shida huko mbeleni. Kila mtu apewe kile anachostahili.

Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hayana mwongozo mkuu
 
UKIOA MWANAMKE ASIYEKUWA NA BIKRA..UJUE UMEOA MKE WA MTU, MAJI HAYASAHAU UBARIDI.. UKWELI MCHUNGU HUU
 
Kuna mabikra washaumizwa wanaungua ktk mahusiano wanapenda kweli ila kwakutokutoa sex wanaachwa hapo amna heartbroken?
 
Sawa tuanzie kwenye Bikra.
Kila mwanamke anazaliwa bikra si ndio?
Ila mazingira ndio yanapunguza au kuongeza chance ya hiyo bikra kuendelea kuwepo.

Binti akiwa mzuri chance ya ku survive na hiyo bikra hadi ndoa inapungua sana kwa asilimia kubwa. Unajua kwanini?? Kwa sababu nyie wanaume mkiona mtoto mzuri tu baaasiii, mnatumia mbinu zote za “kitibeli” mpaka muonje. Binti mzuri anazungukwa na vishaWishi vingi sana kuanzia shuleni (walimu) kwenye nyumba za ibada hadi mtaani. Kila mtu anataka aonje.

Unasema tena awe na kazii😂😂😂. Hapo uwezekano wa hiyo bikra kuendelea kuwepo ni ya kusaka kwa manati. Mabosi wenyewe ndio hawa hawa???😂😂😂 Tena mtoto ni mzuri??

Wewe oa jobless tu
Wakati nasoma uzi huu nilikuwa nawaza kama wewe yaani
Hizi ni ndoto za alinacha kabisa..
Vijana tuanze kuishi zaidi ya kuimagine..
Naona kuna makosa ya kimkakati juu ya ndoa..
Nadhani ndoa za mikataba zitàanza kuchukua sura ya kuwa ukombozi ni suala la muda tu
Mambo yote yatakuwa hadharani
Heshima kwako mkuu..
 
Niambie mkuu
I Feel your presence mkuu
And I appreciate that,,
Ujue humu mitandaoni ñakaribia kusign out forever maana taarifa nyingi ni non-critical kitu ambacho kinamislead hata tuliokuwa na misingi mizuri ya maisha yetu..
Ndoa imefikia hatua wanawake wanasoma mitandaoni na kwenda kufanya practice kwenye ndoa zao..
Mwalimu mmoja aliwahi niambia,,
Hebu tazama zile tamthiliya na movie ambazo characters wake hawadisplay negativity yoyote ukianzia kwenye maisha unakuta ni high life mahusiano unakuta ni angelic love.
Kama ni projects pushing unakuta chance of survival ni kubwa sana..
Akaniuliza umewahi kuona wakikuonesha kazi wanazofanya zinazolead wao kuishi zile standards??
Nikamwambia noo..
Akasema and thats a setup to some stupid boys and foolish girls..
Daah tangu hapo nikikuta manzi wangu hata kaja gheto au time zile niko na wife unakuta kajaza yale maseason ya kihindi had maepisode 800 eti anafuatilia..
Nilikuwa nawaza tu hivi hizi season zinaninyang'anya mke very soon.
Yaani anaanza kusaka Boyii ambae atakuwa anamcare kama vile kwenye tamthiliya..
Na hapo ndipo new guy hujump in na kujichukulia pwenti tatu za muhimu..
Manzi anakuja kushituka kuwa kumbe hakumpata yule wa kwenye tamthiliya ashaliwa na kwangu kashakunya sana shiti na tambo za bata.

Mwishoni anarealize kuwa I was and I am the man she should live long with,, too late hapo upo na manzi mwingine tena..
So itategemea kama huyu mwingine ashafanya usengerema kama wa yule ndio itakuwa tiketi ya yeye kutulia.
 
Mkuu ila wapo wanawake wana akili sana na wanajua maisha yapoje, katikati ya mamba hata kenge wamo.
 
Wanakuwa na akili sana.. elewa akili sana..
Lakini changes huanza kupitia vitu hivi,, Sinema, Friends influences,, Wanaume wanaomuona daily akienda sokoni either kwa mguu au kwa boda..
Ndugu zake wanapoanza kumuweka kwenye kamati zao familia wakijisahaulisha kuwa huyo sio sehemu ya familia yao..

Tunakosea sana pale tunapooa wanawake halafu hatuwaambii ukweli huu wao na ndugu zao,,

Kuwa nimekuoa leo hivyo nimekuondoa rasmi kwenye hii familia ya mzee Longilai na umehamia familia ya Lekamoi..

Hivyo chochote kinachotokea kule kwa Longilai hakikuhusu.. mkubaliane wote kwanza yaani wewe, mkeo na ndugu zake.
Ukiona unapingwa na mmoja hapo either mkeo au ndugu zake ujue hapo hujaoa bali umekopeshwa mke maanake ataendelea kutumika kwao..

Yaani mama mkwe anatakiwa akupigie simu au baba mkwe kukuomba kama itakupendeza uende wewe na mkeo kuna jambo la maana sana upande ule
Hivyo ninyi ni washirikishwaji..
Ndio maana ya mahari unayolipishwa mkuu..

So kabla hujamlipia mahari mkubaliane kwanza na mkataba uwekwe kuwa yeyote atakaeenda kinyume atalipa gharama za huo mkataba..
Hakuna kutapeliana kifara eti binti anaozwa kwa Juma anakaa mwaka anarudi nyumbani na baadae anaozwa tena kwa Samweli eti ameokoka so kaachana na ndoa ya kiisilamu.
Wazazi wanatake advantage ya upisi wa binti zao kuwataPeli washikaji..
So kabla ya kulipa mahari mshenga anatakiwa apresent matakwa ya muoaji yaliyopo kwenye mkataba..
Hawataki tuendelee kuchapa mwingine maana wakwao kashaliwa papuchi kwa mwendo wa 5G.
Tunahamia kwa mwingine.
Usimtazame kwa huruma maana wao hawakutazami kwa huruma yoyote ile bali wao wanaangalia watanufaika vipi na wewe baada ya kuwa wamekuwekea kamba ambayo ni binti yao.
 
Back
Top Bottom