Dammdaeko
Senior Member
- Jan 7, 2022
- 141
- 210
Ila we jamaa mkurukupaji sanaBikra zimejaa nyingi.
Kwa binti aliye kidato cha tatu au cha nne inamiaka mitatu tuu ya kumsubiri ambayo sio mingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila we jamaa mkurukupaji sanaBikra zimejaa nyingi.
Kwa binti aliye kidato cha tatu au cha nne inamiaka mitatu tuu ya kumsubiri ambayo sio mingi
Ila we jamaa mkurukupaji sana
Kiongozi nimekuelewa sana japo kwenye swala la kupata mwanamke alie na vigezo ivyo vyote ni changamoto japo unaweza ukakuta ni bikira lakini kiuwezo akawa hajiwezi ni ngumu sana kukuta bikira + anajiweza + na mzuli pia hao walikua wa enzi za mababu zetu si ngoja tujichukulie hawa wa kizazi chetu hiVIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050
Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha.
Wanaume nitawagawa katika makundi matatu kulingana na umri kama ifuatavyo;
1. Wanaume wenye Miaka 20 - 35
2. Wanaume Wenye miaka 36 - 50
3. Wanaume wenye miaka 51 -. 85
1. Wanaume wenye Miaka 20-35
Ikiwa upo katika age hiyo na unatafuta Mke wa kuoa basi vigezo na sifa zifuatazo ni lazima, nasisitiza ni lazima uzingatie VIGEZO hivi ili ndoa na maisha ya familia yako yawe na furaha.
Vigezo na sifa hizo ni kama ifuatavyo;
Piga ua garàgaza, ukiwa na miaka kati ya miaka 20 - 35 na unatafuta kuoa basi hakikisha unaoa Mwanamke Bikra.
Elewa kama ilivyo ngumu kupata Mwanamke Bikra ndivyo hivyohivyo ni ngumu kuishi kwa furaha na Mwanamke asiye Bikra.
Elewa kuwa karne hii uzinzi na uasherati upo kwa kiwango cha juu kabisa.
Matumizi ya P2, utoaji wa mimba kwa kiwango cha kutisha, matumizi ya madawa na teknolojia ya kuzuia mimba yanaathari kubwa katika familia utakayoianzisha.
Sijazungumzia mambo ya kihisia kuhusu umuhimu wa bikra kwani Jokajeusi alivyokwisha kueleza.
Ni ngumu ukioa Mwanamke Bikra akasumbua kwenye mambo ya ujauzito, sijui homoni imbalance,
Elewa kuwa ukioa mke Bikra hakuna msamiati Ex kwani wewe ndio namba moja. Na wewe ndio utakuwa Ex wake wa kwanza ikiwa mtaachana.
Elewa kuwa ukioa Mwanamke Bikra hana makovu ya kihisia ya kutendwa hivyo wewe ndiye utakuwa muongozo wake. Hivyo wewe ndiye mwalimu wake namba moja. Hivyo kuanguka kwake itagemea na wewe lakini ukioa asiye na bikra huna utakachomfundisha kwani tayari msingi walijenga wengine. Hayo maelezo walishaelezaga wadau humu.
Ingawaje nampingaga Jokajeusi kuwa Bikra sio kila kitu lakini kwa umri wako kijana bikra inanafasi kwa zaidi ya asilimia 70
Mwanamke sifa yake kuu ni uzuri. Kuna Mwanamke alafu kuna Mke.
Kigezo cha uzuri katika kutafuta Mke hakitakuja kuondolewa kwa sababu huo ndio sababu ya Mwanamke kuitwa Mwanamke.
Lazima uoe Mwanamke mzuri. Inyeshe mvua Liwake jua. Achana na wale wanaoogopa Wanawake wazuri. Wakisingizia kuoa tabia njema.
Tabia njema ni sehemu ya seti ya lazima katika kuchagua mke lakini haiondoi sifa ya uzuri wa Mwanamke.
Lazima uoe mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri.
Asije akakudanganya kuwa hao wanawake hawapo. Wanaosema hivyo ni waongo na usijifunze kwa Watu walioshindwa.
Hujawahi kuona Mtu fulani Mke wake ni mzuri, anatabia njema, anaelimu nzuri, na anafanya kazi yenye kipato?
Kama hujawahi kuona njoo nikuonyeshe.
Usisikilize maneno ya Watu walioshindwa ndio maneno yao hayo.
Sio kipato chako. Hapana kipato chake binafsi.
Kijana ukiwa katika umri huo. Lazima uchague Mwanamke mwenye sifa nilizotaja hapo juu na hii. Zote kwa pamoja.
Mwanamke kama hana kipato uzuri wake hauna maana yoyote kwako. Hakuamini kitu kizuri kikawa maskini, hakizalishi kipato na hakijitegemei. Hakuna uzuri wa hivyo.
Bikra, uzuri, kipato.
Mwanamke asiye na kipato huwaga namfananisha na nyumba isiyo na ghala la chakula. Lazima atakuwa tuu mnafiki, Malaya na mnyonyaji.
Mwanamke Mzuri, mwenye kipato na bikra mkikaa mnajadili vitu pasipo kuburuzwa.
Unauwezo wa kumuachia watoto wako na ukajua wako mikono salama.
Unaishi kwa raha. Sio ukiumwa kidogo unapata presha kuwa ukifa itakuwaje watoto watateseka.
Raha ya kufa ufe ukiwa na tumaini kuwa uliowaacha wako katika mikono salama ya Mwanamke anayejua nini chakufanya.
Ogopa Mwanamke asiye na kipato.
Ndoa itakuwa utapeli kama wadau dronedrake na wenzake wasemavyo.
4. Imani ya Mungu.
Mwanamke yeyote mwenye imani na Mungu anajua umuhimu wa kuolewa akiwa Bikra. Hiyo weka akilini kabisa.
Kwa umri huu huna haja ya kuuliza ilikuwaje huna Bikra. Swali hilo watauliza wakubwa zako wenye umri kuanzia miaka 36-50 hao ndio wanaruhusa ya kuoa Wasio na bikra.
2. Wanaume wenye miaka 36- 50
Hawa ni wakaka wakubwa na Wababa fulani hivi.
Hawa ndio wanaruhusa ya kuoa Wanawake wasio na bikra lakini hiyo haimaanishi waoe wanawake single Mothers(Yaani wenye watoto).
Vigezo vingine ni vilevile kama wenye miaka 20-35. Hawa tofauti yao ni kuwa wanaruhusiwa kuoa Wasio na bikra lakini wasiwe single Mothers.
3. Wanaume wenye miaka 51-85
Umri huu kila kitu kwenye maisha yako kitakuwa bayana. Yaani kama ni future yako itakuwa wazi machoni mwako.
Umri huu kama utahitaji kuoa basi unaruhusiwa kuoa Mwanamke Mwanamke asie na bikra na mwenye watoto ukipenda, pia waruhusiwa kuoa Mjane yaani Mwanamke aliyekwisha wahi kuolewa.
Zingatia; wakati unafanya jambo hili, uwe ushaweka mambo yako sawa kwa watoto wako ili baadaye isijeleta shida huko mbeleni. Kila mtu apewe kile anachostahili.
Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kiongozi nimekuelewa sana japo kwenye swala la kupata mwanamke alie na vigezo ivyo vyote ni changamoto japo unaweza ukakuta ni bikira lakini kiuwezo akawa hajiwezi ni ngumu sana kukuta bikira + anajiweza + na mzuli pia hao walikua wa enzi za mababu zetu si ngoja tujichukulie hawa wa kizazi chetu hiKiVIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050

niko na binti nawaza waza kumuoa lakini kitu kama hiki (ulichokisema hapo) kinanitatiza; wazazi wa binti walitengana, watoto wote waliambatana na mama yao na kumtelekeza baba peke yake (hakuna mtoto yuko upande wa baba) ,baba walimwachia nyumba na wao wakaenda kupanga kwingine!Nakazia , oa mwanamke ambae mama yake anatambua umuhimu wa baba katika familia.
Usioe mtoto wa feminist kamwe, ambae baba yake hana sauti kwenye familia.
Note: kukataa ndoa ni bora zaidi.

Mkuu huyo binti hawezi kuja kukuheshimu wala kujua thamani ya uanaume wako ndani ya nyumba, kama ameshindwa kumpa baba yake alie mzaa thamani, je sembuse wewe mtu baki kabisa kwake??🤔🤔🤔🤔.niko na binti nawaza waza kumuoa lakini kitu kama hiki (ulichokisema hapo) kinanitatiza; wazazi wa binti walitengana, watoto wote waliambatana na mama yao na kumtelekeza baba peke yake (hakuna mtoto yuko upande wa baba) ,baba walimwachia nyumba na wao wakaenda kupanga kwingine!
Nayeye (binti) anasemaga kabisa ati "tulimwacha baba kwa sababu ana tabia mbaya" japo sijajua ni zipi.
Mkuu MIN-me, huyu nioe au niendelee kutafuta?
NB: kataa ndoa hainihusu, mimi si mwanachama.
umesomekaMkuu huyo binti hawezi kuja kukuheshimu wala kujua thamani ya uanaume wako ndani ya nyumba, kama ameshindwa kumpa baba yake alie mzaa thamani, je sembuse wewe mtu baki kabisa kwake??
Ukitaka kufahamu jinsi mwanamke wako atakavyokuwa miaka 20 ijayo, mwangalie mama yake mzazi sasa hivi kuanzia muonekano na tabia zake.niko na binti nawaza waza kumuoa lakini kitu kama hiki (ulichokisema hapo) kinanitatiza; wazazi wa binti walitengana, watoto wote waliambatana na mama yao na kumtelekeza baba peke yake (hakuna mtoto yuko upande wa baba) ,baba walimwachia nyumba na wao wakaenda kupanga kwingine!
Nayeye (binti) anasemaga kabisa ati "tulimwacha baba kwa sababu ana tabia mbaya" japo sijajua ni zipi.
Mkuu MIN-me, huyu nioe au niendelee kutafuta?
NB: kataa ndoa hainihusu, mimi si mwanachama.
dah [emoji3] haya mambo haya!Ukitaka kufahamu jinsi mwanamke wako atakavyokuwa miaka 20 ijayo, mwangalie mama yake mzazi sasa hivi kuanzia muonekano na tabia zake.
Unafikiri wewe una u-special gani upone yaliyompata Baba yake? Kama mti mbichi (Baba) umetendewa hayo sembuse wewe mti mkavu (mtu baki)?
Tatzo hapo unachagua wanawake zaidi ya mmoja, ni ngumu sana kumpata mwenye sifa zote hizo Lazima utakuta mmoja anasifa hii na mwngine ana zingineVIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050
Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha.
Wanaume nitawagawa katika makundi matatu kulingana na umri kama ifuatavyo;
1. Wanaume wenye Miaka 20 - 35
2. Wanaume Wenye miaka 36 - 50
3. Wanaume wenye miaka 51 -. 85
1. Wanaume wenye Miaka 20-35
Ikiwa upo katika age hiyo na unatafuta Mke wa kuoa basi vigezo na sifa zifuatazo ni lazima, nasisitiza ni lazima uzingatie VIGEZO hivi ili ndoa na maisha ya familia yako yawe na furaha.
Vigezo na sifa hizo ni kama ifuatavyo;
Piga ua garàgaza, ukiwa na miaka kati ya miaka 20 - 35 na unatafuta kuoa basi hakikisha unaoa Mwanamke Bikra.
Elewa kama ilivyo ngumu kupata Mwanamke Bikra ndivyo hivyohivyo ni ngumu kuishi kwa furaha na Mwanamke asiye Bikra.
Elewa kuwa karne hii uzinzi na uasherati upo kwa kiwango cha juu kabisa.
Matumizi ya P2, utoaji wa mimba kwa kiwango cha kutisha, matumizi ya madawa na teknolojia ya kuzuia mimba yanaathari kubwa katika familia utakayoianzisha.
Sijazungumzia mambo ya kihisia kuhusu umuhimu wa bikra kwani Jokajeusi alivyokwisha kueleza.
Ni ngumu ukioa Mwanamke Bikra akasumbua kwenye mambo ya ujauzito, sijui homoni imbalance,
Elewa kuwa ukioa mke Bikra hakuna msamiati Ex kwani wewe ndio namba moja. Na wewe ndio utakuwa Ex wake wa kwanza ikiwa mtaachana.
Elewa kuwa ukioa Mwanamke Bikra hana makovu ya kihisia ya kutendwa hivyo wewe ndiye utakuwa muongozo wake. Hivyo wewe ndiye mwalimu wake namba moja. Hivyo kuanguka kwake itagemea na wewe lakini ukioa asiye na bikra huna utakachomfundisha kwani tayari msingi walijenga wengine. Hayo maelezo walishaelezaga wadau humu.
Ingawaje nampingaga Jokajeusi kuwa Bikra sio kila kitu lakini kwa umri wako kijana bikra inanafasi kwa zaidi ya asilimia 70
Mwanamke sifa yake kuu ni uzuri. Kuna Mwanamke alafu kuna Mke.
Kigezo cha uzuri katika kutafuta Mke hakitakuja kuondolewa kwa sababu huo ndio sababu ya Mwanamke kuitwa Mwanamke.
Lazima uoe Mwanamke mzuri. Inyeshe mvua Liwake jua. Achana na wale wanaoogopa Wanawake wazuri. Wakisingizia kuoa tabia njema.
Tabia njema ni sehemu ya seti ya lazima katika kuchagua mke lakini haiondoi sifa ya uzuri wa Mwanamke.
Lazima uoe mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri.
Asije akakudanganya kuwa hao wanawake hawapo. Wanaosema hivyo ni waongo na usijifunze kwa Watu walioshindwa.
Hujawahi kuona Mtu fulani Mke wake ni mzuri, anatabia njema, anaelimu nzuri, na anafanya kazi yenye kipato?
Kama hujawahi kuona njoo nikuonyeshe.
Usisikilize maneno ya Watu walioshindwa ndio maneno yao hayo.
Sio kipato chako. Hapana kipato chake binafsi.
Kijana ukiwa katika umri huo. Lazima uchague Mwanamke mwenye sifa nilizotaja hapo juu na hii. Zote kwa pamoja.
Mwanamke kama hana kipato uzuri wake hauna maana yoyote kwako. Hakuamini kitu kizuri kikawa maskini, hakizalishi kipato na hakijitegemei. Hakuna uzuri wa hivyo.
Bikra, uzuri, kipato.
Mwanamke asiye na kipato huwaga namfananisha na nyumba isiyo na ghala la chakula. Lazima atakuwa tuu mnafiki, Malaya na mnyonyaji.
Mwanamke Mzuri, mwenye kipato na bikra mkikaa mnajadili vitu pasipo kuburuzwa.
Unauwezo wa kumuachia watoto wako na ukajua wako mikono salama.
Unaishi kwa raha. Sio ukiumwa kidogo unapata presha kuwa ukifa itakuwaje watoto watateseka.
Raha ya kufa ufe ukiwa na tumaini kuwa uliowaacha wako katika mikono salama ya Mwanamke anayejua nini chakufanya.
Ogopa Mwanamke asiye na kipato.
Ndoa itakuwa utapeli kama wadau dronedrake na wenzake wasemavyo.
4. Imani ya Mungu.
Mwanamke yeyote mwenye imani na Mungu anajua umuhimu wa kuolewa akiwa Bikra. Hiyo weka akilini kabisa.
Kwa umri huu huna haja ya kuuliza ilikuwaje huna Bikra. Swali hilo watauliza wakubwa zako wenye umri kuanzia miaka 36-50 hao ndio wanaruhusa ya kuoa Wasio na bikra.
2. Wanaume wenye miaka 36- 50
Hawa ni wakaka wakubwa na Wababa fulani hivi.
Hawa ndio wanaruhusa ya kuoa Wanawake wasio na bikra lakini hiyo haimaanishi waoe wanawake single Mothers(Yaani wenye watoto).
Vigezo vingine ni vilevile kama wenye miaka 20-35. Hawa tofauti yao ni kuwa wanaruhusiwa kuoa Wasio na bikra lakini wasiwe single Mothers.
3. Wanaume wenye miaka 51-85
Umri huu kila kitu kwenye maisha yako kitakuwa bayana. Yaani kama ni future yako itakuwa wazi machoni mwako.
Umri huu kama utahitaji kuoa basi unaruhusiwa kuoa Mwanamke Mwanamke asie na bikra na mwenye watoto ukipenda, pia waruhusiwa kuoa Mjane yaani Mwanamke aliyekwisha wahi kuolewa.
Zingatia; wakati unafanya jambo hili, uwe ushaweka mambo yako sawa kwa watoto wako ili baadaye isijeleta shida huko mbeleni. Kila mtu apewe kile anachostahili.
Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Naunga mnoko hoja..Nakazia , oa mwanamke ambae mama yake anatambua umuhimu wa baba katika familia.
Usioe mtoto wa feminist kamwe, ambae baba yake hana sauti kwenye familia.
Note: kukataa ndoa ni bora zaidi.
Sio kigezo chenu sems hana namna tu lakini hakuna mwanaume asiyependa sealed.Kwani unadhani hawezi kuwapata hao sealed, au hajui hilo? Sijui kwanini watu mnapenda kuleta hoja zenu binafsi kwenye maamuzi binafsi ya maisha ya wengine...
Nimeshasema sisi kigezo chetu kikuu ni upendo na tunapendana sana, period.
Mkuu una ukweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23]Hana hyo uwezo.
Kuoa Mwanamke bikra sio jambo rahisi na sio Bahati kwa kila mwanaume.
Hakuna mwanaume ambaye hakuwa na ndogo ya kuoa Mwanamke mwenye Bikra. Yaani yeye ndiye awe wakwañza. Huyo hayupo.
Ni vile uwezo hawana.