mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Kwan wewe unataka kuolewa?Awe bikra hapo hapo awe” mzuri” na awe na kazi (Kipato). Ningekuambia kitu ila basi tu.
Ila mnatukoroga sisi ma jobless, jana tu si mmetoka kusema mwanamke mwenye kazi ni mwanaume mwenzenu muoe ambaye hana kazi?
Amehlo tujipange upya sasa[emoji23][emoji23]
Mbona wewe ni mpiga nyeto mzuri tuu