FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wewe taahira kwanini usiseme hao ni kati ya vijana laki 1?!View attachment 2506065
Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU
KAMATI ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI imesema katika kipindi cha miaka mitatu kilichoanzia 2018, vijana wanaojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliopimwa na kukutwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) ni 147.www.ippmedia.com
Mungu atunusuru na vizazi vyetu
Noma sana Mungu atusaidie sanaRoho ya ukimwi ishindwe kwa watoto
Hopan mimi nipo na UkraineJamaa unaipenda mno Soviet eeh
Nimesoma na ndio maana nikakuuta taahira, taahira weweTaahira ni wewe unaye comment bila kusoma link
Acha uvivu na upuuzi wewe
Na hiyo ni evidence ya kuonyesha VVU nchini ni zaidi ya 2% kwa wastani, kama vijana wadogo under 20 kutoka shule walipokuwa wanafungiwa wamekutwa 2% ni waathirika na hawakujua, vipi watu wazima mtaani wenye uhuru na kipato.Sahihi hawakujijua.
Na vile mujibu wa sheria ni wanachuo watarajiwa.. hao wote wanaenda chuo na vvu wanaendelea kusambaza.
Kabisa chuo uhuru na baada ya hapo kazini, nilishajua ninao nikaishi kwa wasiwasi sanaa.147 kati ya 67,000 miaka mitatu hiyo ni asilimia 2 ambayo ni kawaida. Ila sasa waathirika wengi huwa hawaendi JKT hivyo wengi wa hao 147 hawakujijua. Na magonjwa ya zinaa watu wengi huanza kuyapatia chuo na kazini hasa hela na uhuru vikiingia
Acha kututisha wewe...ππππ
Kufikia mwaka 2040 kila mtanzania atakuwa na VVU, kama watu wasipoanza kujijali.
Wengi ni wagonjwa lakini hawajitambui, hawa ndio hatari zaidi.
Wana ndoa ndio wanaoongoza kwa magonjwa ya zinaa wala sio vijanaVijana wao hawajitambui wanafanya ngono zembe wanapata UTI Sugu plus ngoma
Kama mtu Vvu kazaliwa nayo huyo Hana makosa
Hapo chuo sasa....147 kati ya 67,000 miaka mitatu hiyo ni asilimia 2 ambayo ni kawaida. Ila sasa waathirika wengi huwa hawaendi JKT hivyo wengi wa hao 147 hawakujijua. Na magonjwa ya zinaa watu wengi huanza kuyapatia chuo na kazini hasa hela na uhuru vikiingia
So tukapime au..?Vijana wengi wanna Ukimwi Sema hawajapima
Wengi watakuwa walipata maambukizi toka kwa wazazi wao
Hakuna hapo wanao kuja chuoSahihi hawakujijua.
Na vile mujibu wa sheria ni wanachuo watarajiwa.. hao wote wanaenda chuo na vvu wanaendelea kusambaza.
Nashi huyooooooVvu vina vikali usipime