Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

Watumwa Kwa kutoa hukumu Kwa watumwa wenzao wako vizuri, na anasindikizwa na mapambio, Kila siku ubadhirifu wa mali za umma unafanyika na hakuna mwinyi anachomwa moto...

Wachaga wanaiharibu Tanzania ni muda wa kujitathmini..
 
Hivi ni matatizo ya akili au nini yaani kitendea kazi unacho badala kukitumia kwaajili ya kufanya shughuli halali ya bodaboda mtu unajiingiza kwenye uwizi
Mwafrika ni mtu wa hovyo sana. Tzama hata viongozi wetu wamekwapua ma bilioni y fedha lakini bado hawaridhiki na ukiwazuia kuingia madarakani wanakutoa roho.

Yaani wana mitaji ila wanakandamiza watoto wa maskini ndio wajiajiri ila wao hapana.

Sasa imagine mtu ana boda boda inayoingiza fedha kila siku lakini anataka za haraka haraka za kukwapua tu.

Juzi Dada yangu kakwapuliwa IPhone yake mchana kweupe saa nane.
 
Wanataka hela nyingi ya harakaharaka.
Kila siku mnawasimulia mambo ya kula mbususu na kula bata za pombe na mademu mkumbuke na wao wanatamani.

Kupenda Starehe wakati uwezo ni mdogo lazima uwe mwizi, fisadi, tapeli
 
Huu ni upambavu mnakosa kuchoma wezi wa mabilioni nabwezi wa kura mnawauwa watu wanao tafuta hela ya kula ili wasife kwa njaa.
 
Vijana wengi kama hawa unakuta ni Wa Single mazas
 
Huu ni upambavu mnakosa kuchoma wezi wa mabilioni nabwezi wa kura mnawauwa watu wanao tafuta hela ya kula ili wasife kwa njaa.
Wezi wa mabilioni hawaonekani kwa macho tunasimuliwa tu. Ila hawa wanaoibia wenzao waliochoka ndio watakuwa mfano
 
🤣🤣🤣 Fala
 
Kwani kila mwenye v8 ni mwizi?
Kwa nchi kama tanzania ambayo kodi ni 30 % karibu kila kitu ili upate faidi ya milion 300 ya kununuwa v8 kuna mawili unajuwa unashirikiana na wezi wa kodi kukwepa kodi au wewe ni mwizi wa kodi.
 
Hahaha....nimecheka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anza wee kwani kujibu hapa.
Wezi wawe ni vibaka, majambazi, hadi hawa wanasiasa wanaokwapua mabilioni, ni watu hatari sana kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…