Mike A Mugilanetza
Member
- Jul 24, 2023
- 62
- 162
Chizi we😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena yatavimba haswaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi we😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena yatavimba haswaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabasha watapagawa had baas, ni wowowo tyuuh Ngongingo zitupishe kwa muda. LolChizi we[emoji23]
Watumwa Kwa kutoa hukumu Kwa watumwa wenzao wako vizuri, na anasindikizwa na mapambio, Kila siku ubadhirifu wa mali za umma unafanyika na hakuna mwinyi anachomwa moto...Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu
Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi nakuanza kuwashambulia.
Wiki mbili zilizopita vijana wengine wawili walinusurika kuuawa huku risasi moja ikifyatuliwa hewani baada ya vijana hao kuiba simu jambo lililopelekea wananchi kuichoma moto pikiiki waliyokuwa wanaitumia
Baada ya vijana hao kuchomwa moto walichukuliwa na askari wa jeshi la polisi baada ya wananchi wenye hasira kali kuwachoma moto.
Wote sioIla ridhiki ni hao waliochomwa moto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote sio nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote sio
Wote sio nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka hela nyingi ya harakaharaka.Hivi ni matatizo ya akili au nini yaani kitendea kazi unacho badala kukitumia kwaajili ya kufanya shughuli halali ya bodaboda mtu unajiingiza kwenye uwizi
Wadudu ni zao la ccmHao ndio wadudu washikaji wa makonda,
Wadudu walitakiwa kuteketezwa wote
Mwafrika ni mtu wa hovyo sana. Tzama hata viongozi wetu wamekwapua ma bilioni y fedha lakini bado hawaridhiki na ukiwazuia kuingia madarakani wanakutoa roho.Hivi ni matatizo ya akili au nini yaani kitendea kazi unacho badala kukitumia kwaajili ya kufanya shughuli halali ya bodaboda mtu unajiingiza kwenye uwizi
Kila siku mnawasimulia mambo ya kula mbususu na kula bata za pombe na mademu mkumbuke na wao wanatamani.Wanataka hela nyingi ya harakaharaka.
Kwa mijinga tuSio rahis kama unavyodhani,unaweza kuwa na boda na bado ukakosa hela ya kula
Huu ni upambavu mnakosa kuchoma wezi wa mabilioni nabwezi wa kura mnawauwa watu wanao tafuta hela ya kula ili wasife kwa njaa.Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu
Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi nakuanza kuwashambulia.
Wiki mbili zilizopita vijana wengine wawili walinusurika kuuawa huku risasi moja ikifyatuliwa hewani baada ya vijana hao kuiba simu jambo lililopelekea wananchi kuichoma moto pikiiki waliyokuwa wanaitumia
Baada ya vijana hao kuchomwa moto walichukuliwa na askari wa jeshi la polisi baada ya wananchi wenye hasira kali kuwachoma moto.
Vijana wengi kama hawa unakuta ni Wa Single mazasVijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu
Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi nakuanza kuwashambulia.
Wiki mbili zilizopita vijana wengine wawili walinusurika kuuawa huku risasi moja ikifyatuliwa hewani baada ya vijana hao kuiba simu jambo lililopelekea wananchi kuichoma moto pikiiki waliyokuwa wanaitumia
Baada ya vijana hao kuchomwa moto walichukuliwa na askari wa jeshi la polisi baada ya wananchi wenye hasira kali kuwachoma moto.
Wezi wa mabilioni hawaonekani kwa macho tunasimuliwa tu. Ila hawa wanaoibia wenzao waliochoka ndio watakuwa mfanoHuu ni upambavu mnakosa kuchoma wezi wa mabilioni nabwezi wa kura mnawauwa watu wanao tafuta hela ya kula ili wasife kwa njaa.
Hamuwani au mnawaogopa nyie kunguru. Haya mav8 wanayo tembelea si yanapita mitaani kwenu?Wezi wa mabilioni hawaonekani kwa macho tunasimuliwa tu. Ila hawa wanaoibia wenzao waliochoka ndio watakuwa mfano
Kwani kila mwenye v8 ni mwizi?Hamuwani au mnawaogopa nyie kunguru. Haya mav8 wanayo tembelea si yanapita mitaani kwenu?
🤣🤣🤣 FalaSAsa kuna trafiki wale wanaosimama stendi ya dodoma pale, aliporwa simu mchana kweupe.
Mimi pia niliporwa pale sabasaba keepleft ya SUA,pona yangu ni kwamba wakiwa katika harakati za kukimbia wakaidondosha simu yangu waliyonipora hivyo nikawahi kuikota.
Kwa nchi kama tanzania ambayo kodi ni 30 % karibu kila kitu ili upate faidi ya milion 300 ya kununuwa v8 kuna mawili unajuwa unashirikiana na wezi wa kodi kukwepa kodi au wewe ni mwizi wa kodi.Kwani kila mwenye v8 ni mwizi?
Hahaha....nimechekaSAsa kuna trafiki wale wanaosimama stendi ya dodoma pale, aliporwa simu mchana kweupe.
Mimi pia niliporwa pale sabasaba keepleft ya SUA,pona yangu ni kwamba wakiwa katika harakati za kukimbia wakaidondosha simu yangu waliyonipora hivyo nikawahi kuikota.
Wezi wawe ni vibaka, majambazi, hadi hawa wanasiasa wanaokwapua mabilioni, ni watu hatari sana kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa taifa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anza wee kwani kujibu hapa.