Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Sie tunashinda vijiwe vya bodaboda, huko kwenye bia za 7000 nendeni wenyewe
 
Kwenye sherehe usifakamie mabagia kuna kuku mbeleni zile starter zisikutie wazim
 
Nimeshangaa sana kuona kitu kama hichi na hapa ndipo wajinga kwa jina la vijana wanaanza kupotea.
Kiufupi hakuna maisha rahisi na hakuna njia raisi kufikia mafanikio, utafika kwa kupigana tu kiume na sio kutegemea kutoka kwa kupitia mgongo wa mwengine.

Na kama wewe kwenu makapuku basi njia ni kuhangakaika, kupigika, kusota na kutambaa mpaka ufike na hakuna njia nyingine.

Nina huu msemo ambao ni wa kwangu mwenyewe
Kwamba: Hakuna kitu rahisi duniani, na vitu ambavyo unaona ni rahisi basi tambua vimehangaikiwa na kutolewa jasho vilevile hivyo ukitaka rahisi basi jua vina gharama kubwa.
 
Hongera mjomba
Mimi nasubiri Ile connection!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hili jina la bright eyes unatakiwa ubadilishe..

Hakuna aliyesema utembee kila meza na kujitambulisha ovyo ovyo kwa watu.. Kuna mtu alikazia, unatakiwa uwe bright and smart..
 
You can't make it kama huna connection yeyote ile...

Dunia ya sasa ina ushindani wa kila aina. It's not that easy.
 
You can't make it kama huna connection yeyote ile...

Dunia ya sasa ina ushindani wa kila aina. It's not that easy.
Yeah you're right but in your personal perspective.

Umesema it's not that easy?
Well that's exactly my point, it's not that easy Because literally there's nothing easy.

Dunia ya sasa na sio ya sasa tu bali dunia ya siku zote.
Inahitaji watu makini wanaojitambua ambao wanajua wanachokifanya na wanachokitafuta.

Ukiweza hapo hutohitaji kumtafuta yoyote yule bali automatically watu ambao wana haiba na nature kama yako watatokea tu wenyewe kwenye safari ya maisha yako.
Lakini sio kwa kwenda kuwatafuta Bar au Hotelini, na bila shaka inajulikana maeneo hayo wanapatikana watu wa aina gani.
Na hata kama hicho kitu kipo basi itakuwa ni 1 in million sababu wazi inajulikana Bar au Hotelini ni sehemu yenye asili nini.

Well it's fine sababu utofauti ndio kitu kinachofanya binadamu awe binadamu.
 
Hii njia niliwahi elezwa na Mzee mmoja,
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Una point hakika, ila umetutisha kuhusu windoeck au heineken happ sea cliff, but, overal point ni kujichanganya na watu/maeneo potential kukingana na level ya mahitaji.
 
Kwa kweli maisha sio rahisi kiasi hicho..Kuna Dada mmoja haya Mambo ya kusafiri alisafiri mpaka Chato kumzika jiwe,,kumbe behind the scenes Hilo halikuwa lengo
Huyo dada ni bonge la mafia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu pole sana kwa kufedheheka[emoji16]
 
Vipimo vya joto vionesha Mimi tu ndo nina joto kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walipoinuka waliacha bia mezani, nazigonga afu napita hivi
 
Sumaye alipewa taarifa ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu akiwa baa, na ukitaka jina la baa yenyewe nitakupatia.

Baa na sehemu nyingine za starehe kuna vibe fulani ya kujiachia, kama una ujasiri unaweza kabisa kufahamiana na watu wa maana.
 
Sumaye alipewa taarifa ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu akiwa baa, na ukitaka jina la baa yenyewe nitakupatia.

Baa na sehemu nyingine za starehe kuna vibe fulani ya kujiachia, kama una ujasiri unaweza kabisa kufahamiana na watu wa maana.
Baa gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…