Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye sherehe usifakamie mabagia kuna kuku mbeleni zile starter zisikutie wazimPale niliingia mwaka flani niko form 5 kuna event ilikuwepo ya mwisho wa mwaka. Mle ndani mimi ndio nilikuwa mwembamba kuliko wote haijalishi umri wao, hata madogo walikuwa na vitambi. Nililipiwa laki ikiwa ndio kiingilio cha chini ila ikawa ndio party yangu ya gharama kubwa kuingia mpaka leo. Humo nikakutana na watu wakubwa kina Jokate, mabalozi na watu wengine ila nilikuwa hadhi ya chini. Ndio mwanzo wa kuwapenda Malaika Band wale waimbaji wanajua.
Nilikuwa mshamba kwa kuwa sikulipa tiketi mimi hivyo sikujua nastahili kupewa nini. Wakaleta bites kibao nikachukua nyingi nikijua ndio imeisha. Nikashangaa wengine wanaweka tudude tuwili tu basi, nikajisemea hawa wa kishua si huwa wanagusa kidogo afu kwanza wamekula kwao. Kushtuka wakaleta biriani na misosi mikali aisee nilijilaumu.
Tangu hapo huwa najilipua kwenda sehemu zinazoeleweka mara chache. Pale Serena nimeenda November, niliitwa nikafanye issue ila kwa masaa manne nilokaa pale sikumbuki kama mazingira yanaruhusu kumshobokea mtu. Niliambulia kunywa maji chupa ndogo ya 7000, kwanza vipimo vya joto pale langoni vilionesha mimi tu ndio nina joto kali ingawa niliruhusiwa.
Hongera mjombaKwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Hili jina la bright eyes unatakiwa ubadilishe..Inawezekana ikawa kweli, ila ni wangapi wamefanikiwa kwa njia hii kati ya wengi. Inawezekana njia hii imemsaidia mtu fulani ila ni bahati tu imetokea kwake ikajadiliwa kazi au mchongo.
Maana Sasa kwenye festival utajuaje huyu Ni manager, director au Ceo mahali Fulani ? au Wanakuaga na label ?
Kwahiyo wewe Ni kuzunguka festival nzima kuomba na kuongelea shida ya kazi , kwelii ? 🤣🤣
Yaani mtu azunguke Kwenye mashughuli ya starehe yote ya mjini ili abahatishe kukutana na managers, Ceo , directors hata uhakika kwamba watakuwepo haupo na Wala hawajui.
Labda uniambie zile events za proffessionals nitakuelewa.
Mambo mengine Ni bahati tu, unaweza kukutana na muujiza wako wa kazi hata barabarani. Sio basi mtu akifanikiwa kwa njia hii na wewe unaanza kuzunguka barabarani eti barabarani Kuna connections 😀😀
Duniani lilia bahati mambo Mazuri yatakufuata haijalishi eneo, usisahau pia kufanya bidii Yenye akili. Ukiwa tayari umejipanga kupokea muujiza utapokujia.
You can't make it kama huna connection yeyote ile...Nimeshangaa sana kuona kitu kama hichi na hapa ndipo wajinga kwa jina la vijana wanaanza kupotea.
Kiufupi hakuna maisha rahisi na hakuna njia raisi kufikia mafanikio, utafika kwa kupigana tu kiume na sio kutegemea kutoka kwa kupitia mgongo wa mwengine.
Na kama wewe kwenu makapuku basi njia ni kuhangakaika, kupigika, kusota na kutambaa mpaka ufike na hakuna njia nyingine.
Nina huu msemo ambao ni wa kwangu mwenyewe
Kwamba: Hakuna kitu rahisi duniani, na vitu ambavyo unaona ni rahisi basi tambua vimehangaikiwa na kutolewa jasho vilevile hivyo ukitaka rahisi basi jua vina gharama kubwa.
Yeah you're right but in your personal perspective.You can't make it kama huna connection yeyote ile...
Dunia ya sasa ina ushindani wa kila aina. It's not that easy.
Hii njia niliwahi elezwa na Mzee mmoja,Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Pale niliingia mwaka flani niko form 5 kuna event ilikuwepo ya mwisho wa mwaka. Mle ndani mimi ndio nilikuwa mwembamba kuliko wote haijalishi umri wao, hata madogo walikuwa na vitambi. Nililipiwa laki ikiwa ndio kiingilio cha chini ila ikawa ndio party yangu ya gharama kubwa kuingia mpaka leo. Humo nikakutana na watu wakubwa kina Jokate, mabalozi na watu wengine ila nilikuwa hadhi ya chini. Ndio mwanzo wa kuwapenda Malaika Band wale waimbaji wanajua.
Nilikuwa mshamba kwa kuwa sikulipa tiketi mimi hivyo sikujua nastahili kupewa nini. Wakaleta bites kibao nikachukua nyingi nikijua ndio imeisha. Nikashangaa wengine wanaweka tudude tuwili tu basi, nikajisemea hawa wa kishua si huwa wanagusa kidogo afu kwanza wamekula kwao. Kushtuka wakaleta biriani na misosi mikali aisee nilijilaumu.
Tangu hapo huwa najilipua kwenda sehemu zinazoeleweka mara chache. Pale Serena nimeenda November, niliitwa nikafanye issue ila kwa masaa manne nilokaa pale sikumbuki kama mazingira yanaruhusu kumshobokea mtu. Niliambulia kunywa maji chupa ndogo ya 7000, kwanza vipimo vya joto pale langoni vilionesha mimi tu ndio nina joto kali ingawa niliruhusiwa.
Una point hakika, ila umetutisha kuhusu windoeck au heineken happ sea cliff, but, overal point ni kujichanganya na watu/maeneo potential kukingana na level ya mahitaji.Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea cliff ama capetown) kule ukifika nunua bia yako hata moja (Heinekein ama Windhoek) zugazuga baadae jichanganye na wazee wanaofika maeneo hayo.
Trust me! Ukihudhuria maeneo hayo kwa wiki na ikatokea hujapata connection ya maana basi jua una mkosi mkubwa sana.
Nimemsaidia kijana miaka kadhaa ya nyuma na anahudumu katika serikali ya Mama Samia.
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kwamba leo kanitumia milioni tano Cash kama shukrani.
Huyo dada ni bonge la mafiaKwa kweli maisha sio rahisi kiasi hicho..Kuna Dada mmoja haya Mambo ya kusafiri alisafiri mpaka Chato kumzika jiwe,,kumbe behind the scenes Hilo halikuwa lengo
Mkuu pole sana kwa kufedheheka[emoji16]Pale niliingia mwaka flani niko form 5 kuna event ilikuwepo ya mwisho wa mwaka. Mle ndani mimi ndio nilikuwa mwembamba kuliko wote haijalishi umri wao, hata madogo walikuwa na vitambi. Nililipiwa laki ikiwa ndio kiingilio cha chini ila ikawa ndio party yangu ya gharama kubwa kuingia mpaka leo. Humo nikakutana na watu wakubwa kina Jokate, mabalozi na watu wengine ila nilikuwa hadhi ya chini. Ndio mwanzo wa kuwapenda Malaika Band wale waimbaji wanajua.
Nilikuwa mshamba kwa kuwa sikulipa tiketi mimi hivyo sikujua nastahili kupewa nini. Wakaleta bites kibao nikachukua nyingi nikijua ndio imeisha. Nikashangaa wengine wanaweka tudude tuwili tu basi, nikajisemea hawa wa kishua si huwa wanagusa kidogo afu kwanza wamekula kwao. Kushtuka wakaleta biriani na misosi mikali aisee nilijilaumu.
Tangu hapo huwa najilipua kwenda sehemu zinazoeleweka mara chache. Pale Serena nimeenda November, niliitwa nikafanye issue ila kwa masaa manne nilokaa pale sikumbuki kama mazingira yanaruhusu kumshobokea mtu. Niliambulia kunywa maji chupa ndogo ya 7000, kwanza vipimo vya joto pale langoni vilionesha mimi tu ndio nina joto kali ingawa niliruhusiwa.
Hatari kabisaHuyo dada ni bonge la mafia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Vipimo vya joto vionesha Mimi tu ndo nina joto kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pale niliingia mwaka flani niko form 5 kuna event ilikuwepo ya mwisho wa mwaka. Mle ndani mimi ndio nilikuwa mwembamba kuliko wote haijalishi umri wao, hata madogo walikuwa na vitambi. Nililipiwa laki ikiwa ndio kiingilio cha chini ila ikawa ndio party yangu ya gharama kubwa kuingia mpaka leo. Humo nikakutana na watu wakubwa kina Jokate, mabalozi na watu wengine ila nilikuwa hadhi ya chini. Ndio mwanzo wa kuwapenda Malaika Band wale waimbaji wanajua.
Nilikuwa mshamba kwa kuwa sikulipa tiketi mimi hivyo sikujua nastahili kupewa nini. Wakaleta bites kibao nikachukua nyingi nikijua ndio imeisha. Nikashangaa wengine wanaweka tudude tuwili tu basi, nikajisemea hawa wa kishua si huwa wanagusa kidogo afu kwanza wamekula kwao. Kushtuka wakaleta biriani na misosi mikali aisee nilijilaumu.
Tangu hapo huwa najilipua kwenda sehemu zinazoeleweka mara chache. Pale Serena nimeenda November, niliitwa nikafanye issue ila kwa masaa manne nilokaa pale sikumbuki kama mazingira yanaruhusu kumshobokea mtu. Niliambulia kunywa maji chupa ndogo ya 7000, kwanza vipimo vya joto pale langoni vilionesha mimi tu ndio nina joto kali ingawa niliruhusiwa.
Walipoinuka waliacha bia mezani, nazigonga afu napita hivi🤣🤣🤣🤣
Kuna mbongo mmoja alikuwa analilia humu JF anataka kurudi bongo anasema ulaya wazungu wabaguzi
eti kaiingia baa kaagiza pombe, halafu kawafata kwenye meza yao na kujiunga na kukaa, wazungu wote wakaamka na kumwachia meza🤣🤣🤣🤣
Kwa speed yangu na Serengeti lite ni 6k...! Naweza kunywa mshahara wa mwalimu wa sekondari na bado zisikolee,Mzee baba hizo viwanja huwezi ukakuta bia inauzwa 3,500. Kama ilivyo ada, nakusogezea menu ya bia.View attachment 2077993
Baa gani mkuu?Sumaye alipewa taarifa ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu akiwa baa, na ukitaka jina la baa yenyewe nitakupatia.
Baa na sehemu nyingine za starehe kuna vibe fulani ya kujiachia, kama una ujasiri unaweza kabisa kufahamiana na watu wa maana.