Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Hiyo ni kweli,mwaka 2007 nilikwenda hotel moja jijini Arusha nikiwa na mdogo wangu mimi nikiwa ajirani tena ajira ilikiwa ya maana inayolipa kwa kipindi hicho, dogo langu ambae nae alikuwa amesoma elimu kama ya kwangu akitokea likizo ila alikuwa ameajiriwa kwenye taasisi yenye hali tete.So wakati tunagonga beer tukajikuta tunajumuika na watu mezani kwetu na wakati tunapiga story kumbe kati ya wale kulikiwa na HR wa shirika kubwa fulani Tanzania, kwenye stori ndo akatujulisha kuwa kuna nafasi za kazi shirikani kwao,kucheck vigezo dogo anavyo vyote.Duu akaambiwa kesho aende ofisini akafanye usahili atamsaidia endapo kutakuwa na shida.Hadi wa leo naongea dogo yupo job maisha fresh.
So kila nikipitaga maeneo ya Ile hotel naiona ajira ya dogo.
Sehemu kubwa ina mambo makubwa hakika

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anaetaka mwanaume mwenye pesa wakati yeye mwenyewe hana huyo ni gold digger..kaa mbali na ma gold digger...
 
NDUGU mtoa mada! Ahsante kwa ushauri wako mzuri kabisa na wenye manufaa kwenye kutengeneza mtandao wenye manufaa!
Sasa kwa sisi ambao sio watumia vilevi... Kama pombe nk...
Unatushauri kuingia kwa gia gani hayo maeneo! Ili tuweze kupata connection??
Non alcohol zipo nyingi,hata maji yanatosha,kuna chupa ya maji hii ya Kilimanjaro inauzwa mpk bk5,kijiwe kikichangamka wanunulie pombe wanaokunywa japo hii inaitwa pata potea kwn unawezajikuta umekaa na popo na kununulia pombe watu wasio kumbe nao wanatafuta connections wewe,wanabaki kukwambia thanks bro, dunia hii jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli [emoji120][emoji120]
 
Wewe Mzee wewe utatuua Kwa presha hapa,hebu Fanya Hivi hiyo Pesa uliyopata kama unafungua biashara naomba unitag na Mimi nipate japo Kwa kujishikiza mjini pagumu michongo inagoma aisee!
Anyway nipo seriously!
🤔🤔🤔🤔
 
Wewe Mzee wewe utatuua Kwa presha hapa,hebu Fanya Hivi hiyo Pesa uliyopata kama unafungua biashara naomba unitag na Mimi nipate japo Kwa kujishikiza mjini pagumu michongo inagoma aisee!
Anyway nipo seriously!
🤔🤔🤔🤔
 
Nimelisema hapo uwe smart wa akili na mavazi hata kama hujaja na gari utaondoka utapata lift ya Range rover hadi kwenu, business card na laki ya matumizi ila utasikia neno please find me before monday…

Hapo jua umeula.
vijana tigo zenu kuweni makini nazo mtapoteza marinda soon

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…