Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

Hahahahah hii ya kusafiri kuna mtu namjua huwa anaungaga sana hizo Marathon ila nae kaambulia patupu😅 ubao unasoma 0-0. Maisha sio mepesi jamani warembo mukaze tu
Kwa kweli maisha sio rahisi kiasi hicho..Kuna Dada mmoja haya Mambo ya kusafiri alisafiri mpaka Chato kumzika jiwe,,kumbe behind the scenes Hilo halikuwa lengo
 
Sasa hivi connections zimevamiwa. Unahitaji kutuliza akili kweli wakati unaanzisha mawasiliano na hao wadau mnaokutana nao kwa mara ya kwanza hotelini. Ukizubaa inakula kwako!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kuna kajamaa kangu nilisoma nako chuo kenyewe mkienda Bar kakilewa utaskia "of course mi ni afisa usalama" na maneno kama hayo,kalishika urafiki na jamaa wenye kazi serikalini mfano polisi so maboya kaliwaingiza kingi
 
Labda nyakati zenu, siku hizi hizo sehemu zimejaa mafirauni sana, ukienda kibwege bwege midingi itaanza kukukonyeza, kukuletea drinks na kukuachia namba za simu wakidhani unauza kiboga
Ndio moja ya connections hiyo ...unashangaaa
Watu Wana drive wamepanga kwa hizo mishe.
Kuna kuwa na codes zao mdingi hakurupuki tu hovyo
 
Maisha ya Dar yanaonekana expensive sana,huku mikoani soda ya coke hoteli kubwa buku 2 tu,unaweza kwenda zako unapiga soda taratibu au juice unakaa masaa matatu manne huku unatumia free wifi😅
ukienda weekend jmos na jpili ni kama elfu 30 tu (na chips kavu unakula)
 
Inawezekana ikawa kweli, ila ni wangapi wamefanikiwa kwa njia hii kati ya wengi. Inawezekana njia hii imemsaidia mtu fulani ila ni bahati tu imetokea kwake ikajadiliwa kazi au mchongo.

Maana Sasa kwenye festival utajuaje huyu Ni manager, director au Ceo mahali Fulani ? au Wanakuaga na label ?
Kwahiyo wewe Ni kuzunguka festival nzima kuomba na kuongelea shida ya kazi , kwelii ? [emoji1787][emoji1787]

Yaani mtu azunguke Kwenye mashughuli ya starehe yote ya mjini ili abahatishe kukutana na managers, Ceo , directors hata uhakika kwamba watakuwepo haupo na Wala hawajui.
Labda uniambie zile events za proffessionals nitakuelewa.

Mambo mengine Ni bahati tu, unaweza kukutana na muujiza wako wa kazi hata barabarani. Sio basi mtu akifanikiwa kwa njia hii na wewe unaanza kuzunguka barabarani eti barabarani Kuna connections [emoji3][emoji3]

Duniani lilia bahati mambo Mazuri yatakufuata haijalishi eneo, usisahau pia kufanya bidii Yenye akili. Ukiwa tayari umejipanga kupokea muujiza utapokujia.
Word..
 
Hivi kweli niache kunywa Serengeti lite hapa kwa mama Joy tena kwa buku jero then bia hiyo hiyo nikanunue kwa 3500 kwenye hizi hotels zako ???we endelea kuichezea hela yako ukitafuta connects
Mzee baba hizo viwanja huwezi ukakuta bia inauzwa 3,500. Kama ilivyo ada, nakusogezea menu ya bia.
IMG_20220112_120758.jpg
 
Jan tu nilikuwa mahali nacheki game za afcon kwa kweli jna niliamua tu kubadili sehemu mabanda umiza nikaenda kweny bar sas kilichotokea pale nilitoka saa Saba dkk 15 nilikutana na brzaa mojaa wote tunatizama mpira bas Yule jamaaa wkt was kubishana bishana mpira ikatokea kutokukubaliana na data zake ilinibid nijiunge bando tutafiti Zaid ...asie Yule brzaa Ana madini mbaya mbovu mtu smart sna katk kutafuta pesa na mishe mishe...niseme tu niliongeza mtu katk harakat zangu
 
Jan tu nilikuwa mahali nacheki game za afcon kwa kweli jna niliamua tu kubadili sehemu mabanda umiza nikaenda kweny bar sas kilichotokea pale nilitoka saa Saba dkk 15 nilikutana na brzaa mojaa wote tunatizama mpira bas Yule jamaaa wkt was kubishana bishana mpira ikatokea kutokukubaliana na data zake ilinibid nijiunge bando tutafiti Zaid ...asie Yule brzaa Ana madini mbaya mbovu mtu smart sna katk kutafuta pesa na mishe mishe...niseme tu niliongeza mtu katk harakat hatari
 
Jan tu nilikuwa mahali nacheki game za afcon kwa kweli jna niliamua tu kubadili sehemu mabanda umiza nikaenda kweny bar sas kilichotokea pale nilitoka saa Saba dkk 15 nilikutana na brzaa mojaa wote tunatizama mpira bas Yule jamaaa wkt was kubishana bishana mpira ikatokea kutokukubaliana na data zake ilinibid nijiunge bando tutafiti Zaid ...asie Yule brzaa Ana madini mbaya mbovu mtu smart sna katk kutafuta pesa na mishe mishe...niseme tu niliongeza mtu katk harakat zangu
hilo ndilo lengo la mleta uzi sasa,huenda amekosea tu jinsi ya kuwasilish
 
Ndio mie nimeona sio practical sana unless home kwenu uwe mambo safi ukitekenya laki au 2 sio za shida. Ama uwe na kaishu kakukupa 20-30 za hapa na pale!

Vinginevyo kwa vijana wa zero-grazing inakuwa ngumu.
Maisha yamebadilika sana kuaminiana kumepungua, huwezi kukurupikia watu huwajui na wanafanya mishe gani town, matokeo yake unaingizwa kwenye connections za kihalifu bila kujua unaharibu future yako yote,...kikubwa km walivyosema wadau hapo juu labda uanze kuwazoea watu taratibu kutokana na kushare kwenu interests like muziki au mpira na ukute mnakutana eneo la tukio mara kwa mara labda kwenye kupiga stories au kuchangia mada ndo ukute mnabadilishana taarifa ambazo zitakusaidia kupata connection, lakini utafanya mara ngapi na kwa watu wangapi?! Inabidi pia uvae joho la PhD ya uchawa, shobo na unafiki ndani yake
 
😅 umesema kweli kabisa,kuna msela alinisimulia alikuwa zake Bar kubwa hana maelekezo,anapiga vant kubwa ili iishe aondoke,wakaja wadada mmoja wao ana pesa ila hawana kampani,yule kiongozi wao akamfuata mwana akaomba kampani yake,msela akakubali na wale wengine wakaja kujoin,jamaa alinuliwa vyombo kama vyote na yule manzi
mwishowe jamaa baada ya siku kadhaa akamuonesha demu geto na wakawa wanaishi wote ila demu anakaa kidogo na kuondoka akirudi anakuja na pesa nyingi wana spend,mwisho wa siku jamaa alikuja kujua demu jambazi
 
Walevi wapo vibanda vya gongo na chang'aa mkuu yani watu wamepaki seacliff wanakunywa wewe hapo sebleni kwa shemeji yako unamuita mlevi
😂hili tusi ni maarufu humu,mtuache tunaishi kwa dada sio kwa shemeji
 
Uko sahihi kuna kijana mmoja wa kiumeni ndo zake anaenda huko kuwinda.
Na anawapata kabisa.
Mzee anadhani bado tupo enzi za akina Warioba/Msekwa, maisha yamebadilika sana! And bahati mbaya siku hizi kutoa kiboga siyo lazima uwe umelegea legea, unaweza ukajiaminisha unasura ngumu lakini bado watu "wakarara mbere" na wewe
 
Back
Top Bottom