Inawezekana ikawa kweli, ila ni wangapi wamefanikiwa kwa njia hii kati ya wengi. Inawezekana njia hii imemsaidia mtu fulani ila ni bahati tu imetokea kwake ikajadiliwa kazi au mchongo.
Maana Sasa kwenye festival utajuaje huyu Ni manager, director au Ceo mahali Fulani ? au Wanakuaga na label ?
Kwahiyo wewe Ni kuzunguka festival nzima kuomba na kuongelea shida ya kazi , kwelii ? [emoji1787][emoji1787]
Yaani mtu azunguke Kwenye mashughuli ya starehe yote ya mjini ili abahatishe kukutana na managers, Ceo , directors hata uhakika kwamba watakuwepo haupo na Wala hawajui.
Labda uniambie zile events za proffessionals nitakuelewa.
Mambo mengine Ni bahati tu, unaweza kukutana na muujiza wako wa kazi hata barabarani. Sio basi mtu akifanikiwa kwa njia hii na wewe unaanza kuzunguka barabarani eti barabarani Kuna connections [emoji3][emoji3]
Duniani lilia bahati mambo Mazuri yatakufuata haijalishi eneo, usisahau pia kufanya bidii Yenye akili. Ukiwa tayari umejipanga kupokea muujiza utapokujia.