Vijana wanaunda mabomu ya kujitoa muhanga wanabugia...asipopasuka na bodaboda madhara ya figo yanamsubiri... vijana wanatumia sana vilevi hali inatisha. Na hawajali!Sasa hivi kuna smart gin za 2k vijana wanachanganya na energy drinks, its terrible kwa kizazi hiki.
Tatizo hawaelezei kitaalamu energy drink inadhuru vipi figo.Endelea tu lakini kumbuka majuto ni mjukuu....!
Watu wanaambiwa tumieni kinga kujilinda na maambukizi ukimwi wanadharau. Wakiukwaa wanabaki na majuto..!
Kwa ujumla hizi industrial drinks za kuwa nazo makini sana...Ni sahihi, watu wapewe elimu kwa upana zaidi kuhusu hivi vinywaji vya kiwandani kwa ujumla.
Ukisema tu energy drink ina sukari nyingi ambayo si nzuri kiafya, mtu anakwenda anakunywa mirinda nyeusi ambayo pia ina sukari.
Kwa mujibu wa Dokta Pedro wa Jakaya Kikwete Cardiac institute ni kwamba energy drinks zinasababisha mishipa ya moyo kuziba...anasema baadhi ya hizo energy drinks zina
Na kemikali nyingine lukuki zenye athari kwenye mishipa ya moyo kwa sababu zinasupress mishipa ya moyo
- maji
- sukari
- ladha
- caffeine
- mitishamba
- tauline (amino acid)
- protini
Pombe ya energy ipigwe marufukuNimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho
Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana
Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:-
1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki Figo zikishindwa kufanya kazi.
2. Watanzania 10 kati ya 100 wana tatizo la Figo
3. Wahanga ni vijana umri kati ya 24-40
4. Gharama za kusafisha Figo kwa mwaka ni wastani wa TZS 31,200,000 Hadi 46,800,000 bila kuweka gharama nyingine kv usafiri
5. Energy drinks ni disaster kwenye moyo kwa mujibu daktari bingwa wa JKCI.
6. Matumizi ya vinywaji hivi yanaathiri pakubwa viungo vitatu ambavyo ni
-Ini,
- Figo na
- Moyo.
7. Wahanga wakubwa ni vijana wa kiume.
MY TAKE:
Vijana acheni pombe, taifa linawategemea. Linda afya yako. Afya ni mtaji.
Ninyi wataalamu ndio tunawategemea mtuelimishe...Kuna wakati huwa mnatofautiana ktk maoni yenu hapo mnakuwa mnatutisha kidogo...ila mkitupa maelekezo mujarabu itafaa sana kulinda afya zetu...tuwekeni sawa kitaalamu.Mishipa inaziba kwa sababu nyingi tu, ila alizotaja hapo ni za kawaida na hata kwenye soda tunazipata kasoro caffeine je na soda inapelekea matatizo ya moyo?
Hizi ni bra brah tu.
Mheshimiwa sema neno hapa Dkt. Gwajima D
Mishipa inaziba kwa sababu nyingi tu, ila alizotaja hapo ni za kawaida na hata kwenye soda tunazipata kasoro caffeine je na soda inapelekea matatizo ya moyo?
Hizi ni bra brah tu.
Mheshimiwa sema neno hapa Dkt. Gwajima D
Hapo kwa mkuu wa meza aka mdudu umechemka mbaya.Pombe, sigara, bangi, shisha, energy drinks, kutumia dawa za kutuliza maumivu hovyo, nguruwe, na ngono zembe jitahidi uviepuke
🤣Nini faida za kufa ukiwa na maini au figo nzima?
Sasa haya maswali aulizwe Dokta Pedro Palangyo na wenziwe...mimi nimesoma tu gazetini nikaja hapa kuwasanueni...Sina Utaalamu wa afya niulize mambo ya magari nitatiririka...Na bad cholesterol je zinasababisha nini katika mishipa ya damu?
Asante sana 🙏🏾 daktari kwa ufafanuzi mujarabMagonjwa yasiyo ya kuambukizwa mfano moyo, kiasukari presha na saratani yanakua na risk factors nyingi ikiwemo
👉Umri
👉mtindo wa maisha
👉Genetics
Na tunajua risk factors sio chanzo cha moja kwa moja bali ni mambo ambayo ukiyafanya yanaweza kukuelekea ukapata magonjwa hayo
Mtu anaweza asiwe na umri mkubwa na mtindo wake wa maisha ni wa kawaida sio sedentary lifestyle, anapiga zoezi vizuri lakini akapata kisukari akapata pia saratani na hata (cardiac diseases) juzi tu tumesolve kesi moja mtoto wa miaka miwili ana myocardial infraction. Ila anaendelea vema
Hapo kuna factor moja imebaki ambayo ni genetics.
Kuhusu energy drinks na kuleta magonjwa ya moyo probably inaweza sababisha lakini inaingia hapo kwenye mtindo wa maisha.
Energy drink ni kwaajili ya kupunguza fatigue ikiwa kuna ulazima wa kuendelea kufanya kazi na ingredient yake kubwa ni caffeine, ikitumiwa kiasi sidhani kama inaweza leta ugonjwa wa moyo, na tunajua too much is harmful.
Hapo juu nimeona kuna member anakunywa energy 6 kwa siku
Wanachuo wanakunywa energy na skonzi😂 hio ndio chai pia mtu anakunywa energy drink kisha anaenda kulala😂😂 for what?
Kwa staili hio tutapona kweli?
All in all too much is harmful
Dkt. Gwajima D
Dr Restart
DR Mambo Jambo
Dr am 4 real PhD
Mnaweza ongeza jambo hapa.
Aisee...u should stop it mweeAisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa. 🤣🤣🤣
Leo siku ya tano sijanywa kabisaaa, nitaacha tu. Vipi uko poa lakini? Sijasahau bhana 🤔Aisee...u should stop it mwee
🤣🤣🤣una kiroho kizuri kweli....haya bhana....Leo siku ya tano sijanywa kabisaaa, nitaacha tu. Vipi uko poa lakini? Sijasahau bhana 🤔