Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Msongo wa mawazo unakuandama. Una Msongo wa mawazo
 


hii tunaitaje
 
Umezungumza vyema kuwa utampa kura yako.
 
Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani


View attachment 1600640


Sema MATAGA siyo vijana. Kijana hana ajira na mwenye ajira hajaongezewa mshahara wala kupanda daraja kwa miaka mitano na 15% ya makato ya mkopo wa elimu ya juu inamuhusu badala ya ile 7% ya kwenye mkataba ongeza retention fee 6% kila mwaka.

Kijana aliyejiajiri umekutana na mazingira mabovu ya biashara baada ya Magufuli kuharibu sekta binafsi. Sasa kijana gani atakuwa na Imani na Magufuli zaidi ya MATAGA mnaovizia teuzi baada ya Magufuli kuiba kura maana kihalali hawezi kushinda.
 
Nani mwenye ajira hajaongezewa mshara wala kupanda daraja. Hao waliokudanganya wambie wakurudishie ubongo wako kabla ya 28
 
Naona wewe hujui hata kusoma, . Narudia: nioneshe maendeleo yaliyofanywa na chama chako ndani ya chama. Nioneshe demokrasia ya chama chako ndani ya chama chako kisha urudi. Jifunze kuelewa mada kabla ya kujibu
 
Wewe siyo mshamba, wewe ni mpumbavu ambaye unakiri kuwa unataka kumpa mtu ajira bila vipimo against anayepimika
 
 
Heri mzee mwenye akili ya kitoto kuliko kijana mwenye akili ya kizee.

Naona hao vijana wana ulemavu wa akili, usoni wana onekana kama watoto wadogo lakini akili zao zimeganda


Wewe ambaye akili hazijaganda miaka yote hiyo bado upo hapa kwenye hiki kibanda inakuwaje? Unakwama wapi?
 
NI BUNDI PEKEE WANAIMANI NA JPM!!HATA NYOKA HAWANA IMANI NAE!!
Naona ni misukule tu wana imani na mlevi wa konyagi ambaye anafikiria Mzee wa Mashoga atamletea utajiri.
 
Mnajirekodi vijana Wa Lumumba mnaanza kujikomentia wenyewe AIBU
Hiyo tip uliyokula itakutokea puAni kwa kuchagua atakaye endelea kushiba kutoka kwenye tax ya bibi yako(maana you are kula kulala) badala ya kichagua mjenga nchi ili upate tricle down effect
 
Reactions: Ole
wanaomwamini ni wale ambao hawana qualification

Ndio maana huwa tunachukua Mawe badala ya bunduki kwenda kumuua adui. Tunawadharau tukifikri ni pumba sio hivyo. Tunabweteka tukidhani adui ni mwepesi sio hivyo kabisa.

FACT: Kuna kundi kubwa la walio maliza vyuo ambao wapo upinzani, lakini wasomi wazuri sana wapo CCM.
Wamechota the best brain na wanafanya kazi nayo.

Tuelewe nguvu ya hasimu watu, Usibebe mzigo huo wa kujidangaya hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…