Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Msongo wa mawazo unakuandama.
Unafikiri wahenga walikosea kuwaita nyinyi uvccm misukule? Hawakukosea. Niambie ni kijana gani mwenye akili timamu anayeweza kuishabikia CCM! Imemfanyia nini mpaka aishabikie, zaidi tu ya kumuumiza na kumuondolea ndoto zake.

Kama ni hao wasanii wanao wabeba nyakati hizi ngumu mnazopitia, mnawalipa mamilioni ya shilingi. Sera zenu nyingi kuwahusu hao vijana ni za kwenye makaratasi tu.
Una Msongo wa mawazo
 
Na je hawa?
View attachment 1600654

One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right
Hear the children cryin' (One Love!)
Hear the children cryin' (One Heart!)
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!​

1602774913918.png

hii tunaitaje
 
Ikiwemo mm, lazma nimpe kura yangu JPM maana amefanya vitu ambavyo vinaonekana (tangible) na ana hubiri maendeleo zaidi siyo kama lissu ambae kila siku ana hubiri uhuru,haki na usawa kitu ambacho kina mipaka yake la lissu anataka kutudanganya kwamba hakina mipaka
Umezungumza vyema kuwa utampa kura yako.
 
Hii inaonesha kuwa hata vijana bado wanaimani na JPM regardless wanaitikadi ya chama gani


View attachment 1600640


Sema MATAGA siyo vijana. Kijana hana ajira na mwenye ajira hajaongezewa mshahara wala kupanda daraja kwa miaka mitano na 15% ya makato ya mkopo wa elimu ya juu inamuhusu badala ya ile 7% ya kwenye mkataba ongeza retention fee 6% kila mwaka.

Kijana aliyejiajiri umekutana na mazingira mabovu ya biashara baada ya Magufuli kuharibu sekta binafsi. Sasa kijana gani atakuwa na Imani na Magufuli zaidi ya MATAGA mnaovizia teuzi baada ya Magufuli kuiba kura maana kihalali hawezi kushinda.
 
Sema MATAGA siyo vijana. Kijana hana ajira na mwenye ajira hajaongezewa mshahara wala kupanda daraja kwa miaka mitano na 15% ya makato ya mkopo wa elimu ya juu inamuhusu badala ya ile 7% ya kwenye mkataba ongeza retention fee 6% kila mwaka.

Kijana aliyejiajiri umekutana na mazingira mabovu ya biashara baada ya Magufuli kuharibu sekta binafsi. Sasa kijana gani atakuwa na Imani na Magufuli zaidi ya MATAGA mnaovizia teuzi baada ya Magufuli kuiba kura maana kihalali hawezi kushinda.
Nani mwenye ajira hajaongezewa mshara wala kupanda daraja. Hao waliokudanganya wambie wakurudishie ubongo wako kabla ya 28
 
Kwani wapinzani ndiyo wanaishikilia Hazina BOT wanakuonyesha maendeleo kupitia ukosoaji wao ,kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali na upinzani ukiingia ikulu unarekebisha mapungufu yote ya ccm na ukiwa na mapungufu ccm watawakosoa kipindi hicho wakiwa ni wapinzani
Naona wewe hujui hata kusoma, . Narudia: nioneshe maendeleo yaliyofanywa na chama chako ndani ya chama. Nioneshe demokrasia ya chama chako ndani ya chama chako kisha urudi. Jifunze kuelewa mada kabla ya kujibu
 
Tundu apimwe vipi kwani yupo ikulu? Acha kuja na mifano ya kishamba, nyinyi mmekaa ikulu miaka mitano tumewapima ni ufisadi mkubwa kuwatesa watu manyanyaso matupu kila mradi kuna wizi gharama kubwa miradi michache ina gharama kubwa utazani wanajenga bara zima la Africa
Wewe siyo mshamba, wewe ni mpumbavu ambaye unakiri kuwa unataka kumpa mtu ajira bila vipimo against anayepimika
 

Na je hawa?

View attachment 1600654

One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right
Hear the children cryin' (One Love!)
Hear the children cryin' (One Heart!)
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!​
 
Heri mzee mwenye akili ya kitoto kuliko kijana mwenye akili ya kizee.

Naona hao vijana wana ulemavu wa akili, usoni wana onekana kama watoto wadogo lakini akili zao zimeganda

1602783206912.png

Wewe ambaye akili hazijaganda miaka yote hiyo bado upo hapa kwenye hiki kibanda inakuwaje? Unakwama wapi?
 
NI BUNDI PEKEE WANAIMANI NA JPM!!HATA NYOKA HAWANA IMANI NAE!!
Naona ni misukule tu wana imani na mlevi wa konyagi ambaye anafikiria Mzee wa Mashoga atamletea utajiri.
 
Mnajirekodi vijana Wa Lumumba mnaanza kujikomentia wenyewe AIBU
Hiyo tip uliyokula itakutokea puAni kwa kuchagua atakaye endelea kushiba kutoka kwenye tax ya bibi yako(maana you are kula kulala) badala ya kichagua mjenga nchi ili upate tricle down effect
 
  • Thanks
Reactions: Ole
wanaomwamini ni wale ambao hawana qualification

Ndio maana huwa tunachukua Mawe badala ya bunduki kwenda kumuua adui. Tunawadharau tukifikri ni pumba sio hivyo. Tunabweteka tukidhani adui ni mwepesi sio hivyo kabisa.

FACT: Kuna kundi kubwa la walio maliza vyuo ambao wapo upinzani, lakini wasomi wazuri sana wapo CCM.
Wamechota the best brain na wanafanya kazi nayo.

Tuelewe nguvu ya hasimu watu, Usibebe mzigo huo wa kujidangaya hata kidogo.
 
Back
Top Bottom