Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Msongo wa mawazo unakuandama.
Una Msongo wa mawazoUnafikiri wahenga walikosea kuwaita nyinyi uvccm misukule? Hawakukosea. Niambie ni kijana gani mwenye akili timamu anayeweza kuishabikia CCM! Imemfanyia nini mpaka aishabikie, zaidi tu ya kumuumiza na kumuondolea ndoto zake.
Kama ni hao wasanii wanao wabeba nyakati hizi ngumu mnazopitia, mnawalipa mamilioni ya shilingi. Sera zenu nyingi kuwahusu hao vijana ni za kwenye makaratasi tu.