Vijana changamoto mtaji

Sio kweli mzee kwa tunaojua biashara kuna kitu kinaitwa consistency huyo anayefanya hivi hajajua maana ya biashara ila sisi wenye long term plans hatujawahi kuyumbisha malengo malengo sijawahi pata hela nikafikiria kufanya biashara tofauti
Ni kwakuwa hujawahi pata pesa nyingi ngoja upate utajua ninachosema

NB pambana mkuu naimani utapata hitaji la moyo wako
 
Wahenga wanasemaga kukopa🤣raha kulipa Sijui ni matango🤣Sijui matangu anyways jokes
Sure! Mipango sio matumizi kabla hujapata pesa unakuwa na mipango madhubuti kabisa ila ukishazipata akili inawehuka na kufanya kitu kingine kabisa

Vizuri ni kuanza na kidogo ila walau kiwe wastani sio kidogo sana halafu uweze kukipandisha hadi kiwe kikubwa kwa kuzishinda tamaa za maendeleo ya haraka
 
Biashara yoyote ni SALES (MAUZO) na sio CAPITAL (MTAJI). uza vizuri, mtaji utapata.
 
Itakuwa tabu sana kuupata maana hata jina la soko huwezi kulitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…