Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Ni kwakuwa hujawahi pata pesa nyingi ngoja upate utajua ninachosemaSio kweli mzee kwa tunaojua biashara kuna kitu kinaitwa consistency huyo anayefanya hivi hajajua maana ya biashara ila sisi wenye long term plans hatujawahi kuyumbisha malengo malengo sijawahi pata hela nikafikiria kufanya biashara tofauti
NB pambana mkuu naimani utapata hitaji la moyo wako