Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Habari jf,
Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji.
Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya biashara waeneo hilo nawajua vizuri . Now days nachofanya mara nyingi ni kuwajumlishia baadhi ya hawa wafanyabiashara bidhaa na kuuza reja reja kwa baadhi ya wateja hasa mtandaoni na wale wa kuunganishiwa na wauza maduka.
Nawaza nitapata wapi mtaji nichukue frame na nijaze mzigo shop na natargert zaidi biashara ya jumla kwa sababu wafanyabiashara wa hapa pia watakua wateja wangu.
Wakuu tupeane abcs