Vijana changamoto mtaji

Vijana changamoto mtaji

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,438
Reaction score
4,053
Habari jf,
Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji.

Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya biashara waeneo hilo nawajua vizuri . Now days nachofanya mara nyingi ni kuwajumlishia baadhi ya hawa wafanyabiashara bidhaa na kuuza reja reja kwa baadhi ya wateja hasa mtandaoni na wale wa kuunganishiwa na wauza maduka.

Nawaza nitapata wapi mtaji nichukue frame na nijaze mzigo shop na natargert zaidi biashara ya jumla kwa sababu wafanyabiashara wa hapa pia watakua wateja wangu.

Wakuu tupeane abcs
 
Biashara ina tabia ya kuanza kidogo kidgo na kukua ila hiyo ya kwako ya kupata mtaji mkubwa uanze juu ,kinyume na uwezo wako sijaelewa kabisa🤔
Nop mimi biashara nishaianza mkuu, from the scratch na nishaweka mtaji si chini ya m5 till now, ila kwa hapa naona bila kupata mtaji wa maana nitaendelea kustruggle
 
Kama tayari una biashara na ina mzunguko wa kueleweka unaweza kupata mkopo kwenye Bank na kufanya marejesho yako kulingana na mzunguko wako mkuu.
 
Habari jf,
Kwa level niliyofikia kwenye biashara naweza sema bado few steps nifikie lengo, kichwa kinaniuma nawaza nitapata wapi mtaji.

Eneo nalofanyia biashara ni moja ya masoko makubwa na nalijua nje ndani maana nilishafanya kazi kwenye biashara za watu kama wawili tofauti, so wafanya biashara waeneo hilo nawajua vizuri . Now days nachofanya mara nyingi ni kuwajumlishia baadhi ya hawa wafanyabiashara bidhaa na kuuza reja reja kwa baadhi ya wateja hasa mtandaoni na wale wa kuunganishiwa na wauza maduka.

Nawaza nitapata wapi mtaji nichukue frame na nijaze mzigo shop na natargert zaidi biashara ya jumla kwa sababu wafanyabiashara wa hapa pia watakua wateja wangu.

Wakuu tupeane abcs
Mungu akutangulie mkuu utimize hitaji la moyo wako
 
Ukishapata mtaji hayo mawazo yote yanapotea yanakuja mapyaa ambayo hujawahi kuwaza kuwa utayawaza

Anza na ulichonacho mkuu mtaji ni neno pama sana hata afya pia ni mtaji
 
Mkuu je Ana uhakika na return ya biashara asije akaenda Kukopa kwa hisia lisije mkuta jambo by the way hatuombei mabaya
Sure mkuu ndo maana kwangu sio kipaumbele hili swala la kukopa maana nina watu nimewashuhudia wakifirisika sababu ya mikopo na wanavyostruggle kulipa marejesho
 
Ukishapata mtaji hayo mawazo yote yanapotea yanakuja mapyaa ambayo hujawahi kuwaza kuwa utayawaza

Anza na ulichonacho mkuu mtaji ni neno pama sana hata afya pia ni mtaji
Sio kweli mzee kwa tunaojua biashara kuna kitu kinaitwa consistency huyo anayefanya hivi hajajua maana ya biashara ila sisi wenye long term plans hatujawahi kuyumbisha malengo malengo sijawahi pata hela nikafikiria kufanya biashara tofauti
 
Sure mkuu ndo maana kwangu sio kipaumbele hili swala la kukopa maana nina watu nimewashuhudia wakifirisika sababu ya mikopo na wanavyostruggle kulipa marejesho
Kwa nini usijifunze kwa walio fanikiwa kukopa na kurejesha na kukopa tena ? Na mzunguko wao upoje na namna ya kupunguza matumizi kulingana na mzunguko?
 
Hili lazima nilifanyie kazi mkuu ndo maana sihitaji kukurupuka sana, naendelea kusoma kwa watu.
 
Wahenga wanasemaga kukopa🤣raha kulipa Sijui ni matango🤣Sijui matangu anyways jokes
Ukishapata mtaji hayo mawazo yote yanapotea yanakuja mapyaa ambayo hujawahi kuwaza kuwa utayawaza

Anza na ulichonacho mkuu mtaji ni neno pama sana hata afya pia ni mtaji
Kwa nini usijifunze kwa walio fanikiwa kukopa na kurejesha na kukopa tena ? Na mzunguko wao upoje na namna ya kupunguza matumizi kulingana na mzunguko
 
Back
Top Bottom