Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

Bwashee unataka kunfwata dogooo unajua ukihudhuria uchelewi kubeba maspirit mwenyewe nawaza kutoa mchango tu

Sisi tubaki na idadi zetuu bwashee ukisikia unaharishq unaacha hata bia xilizo kwa Meza loh.....
Hahaha tatizo mnakunywa sumu mnazingizia bia sasa balimi nayo ni bia🚮
 
Sio kweli kifo kinaweza kukupata mda wowote ,utakufa. Na pombe utaiacha maelfu ya miaka
 
Tuna vipindi vitatu vya maisha kuzaliwa ,kuishi na kufa so every body ataondoka kwa njia yake aliochoose so ata husipo kunywa pombe kufa ni pale pale no way out....no one know tommorow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…