Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.