Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #41
Hela ndogo ndogo zinawasumbua wengi.Hata wakati wa gadafi ilikuwa hivi hakuchukua tahadhari leo walio fanya ujinga wanajuta amani lahisi kutoweka kazi kuirudisha
Hela ndogo ndogo zinawasumbua wengi.Hata wakati wa gadafi ilikuwa hivi hakuchukua tahadhari leo walio fanya ujinga wanajuta amani lahisi kutoweka kazi kuirudisha
Umedanganywa na kudanganyika...Wewe ulitaka huyo mwanaharakati wa Kenya alale mbagala huko ndani ndani kwenye guest bubu za elfu 10?
Fahamu tu, uanaharakati ni kazi, na hulipwa au kujilipa kutokana na kazi zao.
Upande wa pili, wanaharakati wengi ni waandishi wa habari za kiuchunguzi ambazo hutumiwa na mashirika makubwa ya habari duniani, ili kupata habari za kina na uhakika ni lazima wawe ndani ya hizo harakati.
Is this Fareed Zakaria for real or AI?View attachment 3342723
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.
Akili Mnemba (AI).Is this Fareed Zakaria for real or AI?
Confirmed ni AI, fareed zakaria page doesnt have such video ,not even youtubeIs this Fareed Zakaria for real or AI?
You Tube ipo, na nimeiwea hapa!Hiyo video AI generated.
Ingia YOUTUBE tafuta hiyo clip kuhusu hicho kipindi cha Fareed Zakaria kama utaipata.
Hiyo clip wametengeneza wajinga wenu wa hapo TCRA kuwadanganya nyie wapuuzi.
Tatizo mbinu mnazotumia ni za kizamani.
Hata neno " rahisi" hujui kuandika unaandika "lahisi"! hizo shule mlienda kusomea ujinga?Hata wakati wa gadafi ilikuwa hivi hakuchukua tahadhari leo walio fanya ujinga wanajuta amani lahisi kutoweka kazi kuirudisha
Mods hii video ni feki , tunaomba muitoe humu.Haya ni majibu ya Deepware scannerView attachment 3342795
Na hapa ni uchambuzi kutoka Chatgpt
1. Muundo wa video: Inaonekana imeundwa kwa kuchanganya video na picha tofauti, hasa sehemu ya juu ikiwa na alama ya CNN na maneno kama "Fareed's Take".
2. Dalili za kupotosha (deepfake au siyo):
Hakuna dalili wazi za uso kuvurugika, macho kuonekana yasiyo ya kawaida, au harakati zisizoendana na sauti — mambo ya kawaida katika deepfake.
Hata hivyo, uwepo wa maandishi kama "CNN-Today News" na nembo za CNN kwenye klipu nyingi, bila uthibitisho rasmi kutoka kwa CNN, ni dalili ya video ya kubuni au propaganda.
3. Ripoti ya Deepware: Mojawapo ya mifumo (Seferbekov) iligundua deepfake kwa asilimia 80. Hii ni ya juu na ya kutia mashaka, hata kama mifumo mingine haikugundua kitu. Hii inaashiria kuwa angalau sehemu ya video inaweza kuwa imetengenezwa kwa mbinu za bandia.
Hitimisho: Video hii haionekani kuwa deepfake ya kisasa yenye sura za kutengenezwa, lakini ina uwezekano mkubwa kuwa imechanganuliwa au kupikwa, na baadhi ya vipande vinaweza kuwa vya kupotosha. Ina uwezekano mkubwa kuwa haijatolewa CNN rasmi.
______________________
Uchambuzi wa OCR
Sehemu ya Sekunde 0:
Not in My Country: Why Tan: Going After Open Soc
Sehemu ya Sekunde 30:
FAREED'S TAKE
Not in My Country: Why Tanzania Is Going After Open Society
& ARE
TANZANIA © vs == KENYA Genoa
CNN-Today News...
Sehemu ya Sekunde 60:
FAREED'S TAKE
Not in My Country: Why Tan:
& .
TANZANIA % vs =~
CNN-Today News...
Sehemu ya Sekunde 90:
& ] XOuare
TANZANIA © vs == KENYA Gens suber
CNN-Today News...
Sehemu ya Sekunde 120:
FAREED'S TAKE
Not in My Country: Why T:
TANZANIA © vs =— _KENYA Genz!
@CNNToday News...
---
Hitimisho la Maandishi (OCR):
Maandishi mengi yanaonekana kupotosha au yamehaririwa vibaya.
Maelezo kama “CNN-Today News”, “FAREED’S TAKE”, na “TANZANIA vs KENYA” yanajitokeza mara kwa mara, lakini si sahihi au si rasmi kutoka CNN.
Kuna uwezekano mkubwa maandiko haya ni ya kubuni ili kuonesha uhalali wa bandia.
Kwa hivyo, video hii inaonekana imetengenezwa au kuhaririwa kwa nia ya kupotosha au kuunda simulizi la uongo.
Acha kupotosha, weka hiyo link ya YouTube hapa.You Tube ipo, na nimeiwea hapa!
View attachment 3347171
Theory za kipumbav kabisa hizi, marekani iache kupambana na china, na east europe, midlle east iache mambo ya uchumi ike ilete wanaharaka tz?View attachment 3342723
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.
Pumbavu kabisa wew, unafananisha gadafi alichowafanyia wananchi wake na hapa wananchi wanachofanyiwa na serial..Hata wakati wa gadafi ilikuwa hivi hakuchukua tahadhari leo walio fanya ujinga wanajuta amani lahisi kutoweka kazi kuirudisha
Watu wa Buguruni Malapa utawajua tu!Theory za kipumbav kabisa hizi, marekani iache kupambana na china, na east europe, midlle east iache mambo ya uchumi ike ilete wanaharaka tz?
Uko serious ww kiazi?
Wasanii wangapi wanalala serena hotel? Tena wa bongo mpaka machawa?
Mbona si bei ghali?
Acheni ushamba jmn, kulala serena si gharama, hata ww unaweza. Na hiyo sio sababu
Brain zenu za kimasikini sana
Nyie wajinga ndio waliwao!!Acha kupotosha, weka hiyo link ya YouTube hapa.
Video ni feki ya kutengeneza hiyo.
For real!Is this Fareed Zakaria for real or AI?
Tuachane na uvivu na ujinga wa kutojitafutia uelewa wakati mitandao inaweza kukuhabarisha vizuri.Acha kupotosha, weka hiyo link ya YouTube hapa.
Video ni feki ya kutengeneza hiyo.
Chatgpt inasemaje? Upload video to chatgpt full analysis. Long story short video appears genuine.Mbona haipo kwenye "archives" za Fareed Zakaria wala CNN!!!???
Chatgpt inasemaje? Upload video to chatgpt full analysis. Long story short video appears genuine.