Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

Hii ngoma bado mbichi sana
FB_IMG_1747981502184.jpg
 
View attachment 3342723

Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.

Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.

Machale yatucheze.
Okay, naona mnawatamani na mmeanza kuwaita hao Open Society...watakuja tu, stay tuned.
 
Haya ni majibu ya Deepware scanner
Screenshot_20250523-102314_Chrome.jpg

Na hapa ni uchambuzi kutoka Chatgpt

1. Muundo wa video: Inaonekana imeundwa kwa kuchanganya video na picha tofauti, hasa sehemu ya juu ikiwa na alama ya CNN na maneno kama "Fareed's Take".

2. Dalili za kupotosha (deepfake au siyo):

Hakuna dalili wazi za uso kuvurugika, macho kuonekana yasiyo ya kawaida, au harakati zisizoendana na sauti — mambo ya kawaida katika deepfake.

Hata hivyo, uwepo wa maandishi kama "CNN-Today News" na nembo za CNN kwenye klipu nyingi, bila uthibitisho rasmi kutoka kwa CNN, ni dalili ya video ya kubuni au propaganda.

3. Ripoti ya Deepware: Mojawapo ya mifumo (Seferbekov) iligundua deepfake kwa asilimia 80. Hii ni ya juu na ya kutia mashaka, hata kama mifumo mingine haikugundua kitu. Hii inaashiria kuwa angalau sehemu ya video inaweza kuwa imetengenezwa kwa mbinu za bandia.

Hitimisho: Video hii haionekani kuwa deepfake ya kisasa yenye sura za kutengenezwa, lakini ina uwezekano mkubwa kuwa imechanganuliwa au kupikwa, na baadhi ya vipande vinaweza kuwa vya kupotosha. Ina uwezekano mkubwa kuwa haijatolewa CNN rasmi.

______________________
Uchambuzi wa OCR

Sehemu ya Sekunde 0:

Not in My Country: Why Tan: Going After Open Soc

Sehemu ya Sekunde 30:

FAREED'S TAKE

Not in My Country: Why Tanzania Is Going After Open Society

& ARE
TANZANIA © vs == KENYA Genoa
CNN-Today News...

Sehemu ya Sekunde 60:

FAREED'S TAKE

Not in My Country: Why Tan:

& .
TANZANIA % vs =~
CNN-Today News...

Sehemu ya Sekunde 90:

& ] XOuare
TANZANIA © vs == KENYA Gens suber
CNN-Today News...

Sehemu ya Sekunde 120:

FAREED'S TAKE

Not in My Country: Why T:

TANZANIA © vs =— _KENYA Genz!
@CNNToday News...

---

Hitimisho la Maandishi (OCR):

Maandishi mengi yanaonekana kupotosha au yamehaririwa vibaya.

Maelezo kama “CNN-Today News”, “FAREED’S TAKE”, na “TANZANIA vs KENYA” yanajitokeza mara kwa mara, lakini si sahihi au si rasmi kutoka CNN.

Kuna uwezekano mkubwa maandiko haya ni ya kubuni ili kuonesha uhalali wa bandia.

Kwa hivyo, video hii inaonekana imetengenezwa au kuhaririwa kwa nia ya kupotosha au kuunda simulizi la uongo.
 
Haya ni majibu ya Deepware scannerView attachment 3342795

Du....!
 
Wewe ulitaka huyo mwanaharakati wa Kenya alale mbagala huko ndani ndani kwenye guest bubu za elfu 10?

Fahamu tu, uanaharakati ni kazi, na hulipwa au kujilipa kutokana na kazi zao.

Upande wa pili, wanaharakati wengi ni waandishi wa habari za kiuchunguzi ambazo hutumiwa na mashirika makubwa ya habari duniani, ili kupata habari za kina na uhakika ni lazima wawe ndani ya hizo harakati.
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!
 
View attachment 3342723

Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.

Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.

Machale yatucheze.
Mkuu ujengaji wako wa hoja ni wa kitoto sana...
What is kulala serena?...
Umasikini mbaya sana
 
View attachment 3342723

Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.

Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.

Machale yatucheze.
Machale yakucheze?Ina maana una Imani za kishirikina na umechanjwa chale.Acha uzushi.
 
Hiyo video AI generated.

Ingia YOUTUBE tafuta hiyo clip kuhusu hicho kipindi cha Fareed Zakaria kama utaipata.

Hiyo clip wametengeneza wajinga wenu wa hapo TCRA kuwadanganya nyie wapuuzi.

Tatizo mbinu mnazotumia ni za kizamani.
Wapuuz sana hawa hivi Fareed Zakaria na CNN wana muda wa kuripoti ushuzi wa huyu msagaji wa taifa
 
Ningekuwa mimi kama hawafahamu nilipo nchini ningelala tabata
 
View attachment 3342723

Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.

Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.

Machale yatucheze.

Wabongo bana wote comedians tu so mkuu ulitaka wanaharakati wapangiwe cha kuongea na mama au kifua kipana?😛😛
 
Yaani mtu anakuja nchini kama mwanaharakati akiwa na begi lenye nguo, kalamu, note book, simu, laptop na kamera yake, halafu wewe unasema alikuwa amekuja kufanya uvamizi?!

Una akili timamu wewe?
Achana nao wapuuzi machawa
Gen Z wanawatosha
 
Yaani mtu anakuja nchini kama mwanaharakati akiwa na begi lenye nguo, kalamu, note book, simu, laptop na kamera yake, halafu wewe unasema alikuwa amekuja kufanya uvamizi?!

Una akili timamu wewe?
Álafu pamoja na hiyo mikalamu na kamera, wewe unaenda nyumbani raha mustarehe, jamaa akukunja mguu Serena.
Nyie wajinga sijui mtaelewa lini, mnasubiri kuolewa ninyi na wake zenu.
 
Back
Top Bottom