Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Hiyo video AI generated.View attachment 3342723
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.
View attachment 3342723

Unabishana na watu wenye akili ndogo kama pilitonWewe ulitaka huyo mwanaharakati wa Kenya alale mbagala huko ndani ndani kwenye guest bubu za elfu 10?
Fahamu tu, uanaharakati ni kazi, na hulipwa au kujilipa kutokana na kazi zao.
Upande wa pili, wanaharakati wengi ni waandishi wa habari za kiuchunguzi ambazo hutumiwa na mashirika makubwa ya habari duniani, ili kupata habari za kina na uhakika ni lazima wawe ndani ya hizo harakati.
KabisaHiyo video AI generated.
Ingia YOUTUBE tafuta hiyo clip kuhusu hicho kipindi cha Fareed Zakaria kama utaipata.
Hiyo clip wametengeneza wajinga wenu wa hapo TCRA kuwadanganya nyie wapuuzi.
Tatizo mbinu mnazotumia ni za kizamani.
Mbona haipo kwenye "archives" za Fareed Zakaria wala CNN!!!???View attachment 3342723
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.
Wewe pumbavvu kabisa eendeleeni kufurahia Kuuwa na kutesa but oneday MTALIPAView attachment 3342723
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.
Aisee una brain ya kimasikini sana, wanakuja bbc teams tz, aljazeera, wanakuja cnn, na other media team ,na wale wanahabari nguli huwa wanabook top hotels si serena tuView attachment 3342723
Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa.
Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani.
Taasisi hiyo ni Open Society Foundation.
Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa.
Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena Hotel.
Mwanaharakati mwandishi wa habari kulala Serena Hotel?
Wanaharakati wamevuka mpaka kuja kinyemela na kufanya fujo Tanzania na vile vile kuvuka mpaka wa uvumilivu wa mahusiano ya ujirani mwema.
Machale yatucheze.
Cheki facts usiendekeze hisia zako.Hiyo video AI generated.
Ingia YOUTUBE tafuta hiyo clip kuhusu hicho kipindi cha Fareed Zakaria kama utaipata.
Hiyo clip wametengeneza wajinga wenu wa hapo TCRA kuwadanganya nyie wapuuzi.
Tatizo mbinu mnazotumia ni za kizamani.
Wewe ndo zero brain, mwanaharakati wa Kibera, Nairobi wamchululia kimungu mtu chako.Aisee una brain ya kimasikini sana, wanakuja bbc teams tz, aljazeera, wanakuja cnn, na other media team ,na wale wanahabari nguli huwa wanabook top hotels si serena tu
Suala la kusema eti kulala hoteli ya bei ghali ni kutumwa ni ushamba wa hali ya juu sana sana sana
Serena wanalala binadam kama wewe, na si bei ghali , jipange ulale hata siku moja
Unaona unajibu taarabu huna facts. For the record hiyo video haiko correct and AI generated. Ukifuata page ya official fareed zakaria hamna hiyo video.Wewe ndo zero brain, mwanaharakati wa Kibera, Nairobi wamchululia kimungu mtu chako.
JidulaView attachment 3342723