Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

Umedanganywa na kudanganyika...

Inasemekana hata ushahidi wa uhaini wa Tundu Lissu, Afande Jumanne Muliro na wasuka kesi ya ugaidi wa Mbowe mwaka 2021 Camillius Wambura na Ramadhani Kingai wamejifungia na vijana wao wa IT kuutengeneza kwa teknolojia ya AI kama walivyotengeneza hii..

Watahangaika sana, watatapa tapa sana lakini the game is over for CCM & Samia Suluhu Hassan..
 
Is this Fareed Zakaria for real or AI?
 
Hiyo video AI generated.

Ingia YOUTUBE tafuta hiyo clip kuhusu hicho kipindi cha Fareed Zakaria kama utaipata.

Hiyo clip wametengeneza wajinga wenu wa hapo TCRA kuwadanganya nyie wapuuzi.

Tatizo mbinu mnazotumia ni za kizamani.
You Tube ipo, na nimeiwea hapa!
Your browser is not able to display this video.
 
Hata wakati wa gadafi ilikuwa hivi hakuchukua tahadhari leo walio fanya ujinga wanajuta amani lahisi kutoweka kazi kuirudisha
Hata neno " rahisi" hujui kuandika unaandika "lahisi"! hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mods hii video ni feki , tunaomba muitoe humu.

Paw Moderator Maxence Melo
 
Theory za kipumbav kabisa hizi, marekani iache kupambana na china, na east europe, midlle east iache mambo ya uchumi ike ilete wanaharaka tz?
Uko serious ww kiazi?

Wasanii wangapi wanalala serena hotel? Tena wa bongo mpaka machawa?
Mbona si bei ghali?

Acheni ushamba jmn, kulala serena si gharama, hata ww unaweza. Na hiyo sio sababu
Brain zenu za kimasikini sana
 
Hata wakati wa gadafi ilikuwa hivi hakuchukua tahadhari leo walio fanya ujinga wanajuta amani lahisi kutoweka kazi kuirudisha
Pumbavu kabisa wew, unafananisha gadafi alichowafanyia wananchi wake na hapa wananchi wanachofanyiwa na serial..
 
Watu wa Buguruni Malapa utawajua tu!
 
Acha kupotosha, weka hiyo link ya YouTube hapa.
Video ni feki ya kutengeneza hiyo.
Tuachane na uvivu na ujinga wa kutojitafutia uelewa wakati mitandao inaweza kukuhabarisha vizuri.
 
Mbona haipo kwenye "archives" za Fareed Zakaria wala CNN!!!???
Chatgpt inasemaje? Upload video to chatgpt full analysis. Long story short video appears genuine.
 

Attachments

  • Screenshot_20250527_124509_Chrome.jpg
    171.1 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…