Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
My people,
Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua
Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate kutimizwa
1. Barua ya maombi ya kufanya maandamano
2. Madai au dhumuni la kufanya hayo maandamano
3. Yanapitia njia gani
4. Mnakusudia ujumbe wenu kuupeleka kwa nani au mkasikilizwe na nani
Baada ya taratibu hizo zote kukamilika na kupewa go ahead hapo sasa hayo maandamano yanakuwa halali,ina maana hapo mko salama kwa asilimia 💯
Kinyume na hapo mnavunja sheria na mnachukuliwa hatua
Sasa maandamano ya 29 Oct yalikuwa mageni kwa wengi wetu na hatukujua athar zake
Now tumejua athar za maandamano kwahiyo tusirudie makosa yale yale tuliyo yafanya last time
Tumejua how far Dola inaweza kwenda pale ambapo taratibu zikikiukwa,sasa tusitake Tena kuipima dola how far inaweza kwenda pale tutakapo ishika masharubu
Najua kwa wengi wetu tunaonekana hatupo pamoja na wananchi ila tupo upande wa dola,kitu ambacho si kweli,ubaya wetu ni kuwasanua nyie ndugu zetu kwamba don't play someone's game kwa maneno mazuri ya HAYA LAND HOV
Narudia tena mnafamilia zenu na mna ndoto nyingi ambazo mnataka kuzikamilisha basi msikubali kupoteza ndoto zenu kizembe kwa maslahi ya watu wachache ambao wanapush hizi mambo ili wapate kuishi hapa town, na kuna wadau wengine wanapush maandamano bila kujua kuwa wenzao wanamkwanja kwa kila jitihada wanayofanya
We have one soul don't waste it unnecessarily
Ni hayo tu!