Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

Michezo ya kitoto safari hii itaishia mitandaoni.

Vijana wameamka Sana.
Vijana gani wameamka?
Kama vijana wangekua wanashawishiwa na mtu/chadema wangesha andamana siku nyingi sana, maana chadema miakanenda miaka rudi huwa wanahamasisha maandamano lakini vijana hawaandamani.

Kilichotokea awamu hii sio ushawishi wa chadema wala kina mange, wakati ulikua umefika.

Mnakosea sana mnapojilazimisha kuamini eti chadema/wanaharakati wamesababisha maandamano, hao wote walidandia treni kwa mbele.
 
View attachment 3516133

My people,​

Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua

Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate kutimizwa

1. Barua ya maombi ya kufanya maandamano

2. Madai au dhumuni la kufanya hayo maandamano

3. Yanapitia njia gani

4. Mnakusudia ujumbe wenu kuupeleka kwa nani au mkasikilizwe na nani

Baada ya taratibu hizo zote kukamilika na kupewa go ahead hapo sasa hayo maandamano yanakuwa halali,ina maana hapo mko salama kwa asilimia 💯

Kinyume na hapo mnavunja sheria na mnachukuliwa hatua

Sasa maandamano ya 29 Oct yalikuwa mageni kwa wengi wetu na hatukujua athar zake

Now tumejua athar za maandamano kwahiyo tusirudie makosa yale yale tuliyo yafanya last time

Tumejua how far Dola inaweza kwenda pale ambapo taratibu zikikiukwa,sasa tusitake Tena kuipima dola how far inaweza kwenda pale tutakapo ishika masharubu

Najua kwa wengi wetu tunaonekana hatupo pamoja na wananchi ila tupo upande wa dola,kitu ambacho si kweli,ubaya wetu ni kuwasanua nyie ndugu zetu kwamba don't play someone's game kwa maneno mazuri ya HAYA LAND HOV

Narudia tena mnafamilia zenu na mna ndoto nyingi ambazo mnataka kuzikamilisha basi msikubali kupoteza ndoto zenu kizembe kwa maslahi ya watu wachache ambao wanapush hizi mambo ili wapate kuishi hapa town, na kuna wadau wengine wanapush maandamano bila kujua kuwa wenzao wanamkwanja kwa kila jitihada wanayofanya

We have one soul don't waste it unnecessarily

Ni hayo tu!
well done gentleman:KasugaYeah:
 
Uzuri taarifa zote tunazo
 
Acha upuuzi na uchoko wa kujipa umuhimu au usemaji kwa vijana, yaliyo tokea yana hitaji ufumbuzi.

Una dhani hivyo vibali vya maandamano vita fanya waache kututeka au kutuua?, au vita amsha consciousness yao ili waache ufisadi?.

Impact ya maandamano ume iona?, I agree there's a price to pay na ndio huu muamko wa jamii.
Huwa nainjoy sana nikiona kijana anatokwa na povu na kukasirika ni dallili tosha ujumbe unafika

Tulieni dawa iwaingie vizur,ni movement ya awareness kuwatoa upumbavua vichwani mwenu

The show still continuous till 31/12/25
 
Walimuua kiuchumi. kwa kukwamisha fursa za kiuchumi kwenye makampuni yake walimdhibiti na kumnyima vitaru vya gesi ...AJENDA KUU YA HAO RAIA FEKI NI DHIDI YA UKRISTO NA UBANTU YAANI AWATAKI MBANTU AU MKRISTO YOYOTE KUMILIKI NJIA KUU ZA UCHUMI NA WAO KUKAMATA SERIKALI KAMA ILIVYO SASA .....MAUAJI YA WAANDAMANAJI NI WAO WANAO FANYA NA KUYA AMRISHA DHIDI YA WATANGANYIKA NA DHIDI YA WAZALENDO.

Ujinga Kama huu ndo unaonesha wazi kuwa JF kuna kizazi cha wajinga Sana

MENGI una uhakika aliuliwa ?
 
Mjinga ni wakati wa kwenda ViJANA hatutawezi kuandamana wala kuichoma nchi yetu. Maana hatuna nchi nyingine zaidi Tanzania

GEN Z , we don't play someone's game.

Wanasiasa wao wao watamaliza tofauti Ila sisi wananchi hatutahusika na maandamano yoyote yanayopangwa na wanaharakati au chama fulani ,
Huo ndio ukweli hakuna maandamano,hakuna vifo tena

Enough is enough hatuwezi teketeza vijana wetu kwa game ya watu wengine
 
Nafurahia Kuona vijana wanaelewa

Na sasa ukitaka kujua huu ulikuwa Mardi hawa jamaa wako wanaudhuria vikao vyao

Sasa swali kuna Kijana mpaka sasa akiyeandama kaitwa ikulu kufanya mazungumzo !!!

Ahaaa !!!

Yaani activist huu ndo mwisho wao
 
Sijaona ukipinga na kulaani mauaji na utekaji unaofanywa bali umekazania maandamano.hawa wanaoandamana wanadai haki na dhuluma wanaofanyiwa wanaokotwa km kuku na mwewe watekaji day to day namba inaongezeka wapo hdi vjjn.leo wakidai haki yao ndn ya nchi yao mnaona wahalifu mnawaua. Tangia lini serikali imetoa kibali ya maandamano?
Mmeomba kibali na kunyimwa?

Kama mimi sijazungumzia utekaji,je wewe umezungumzia

Hakuna wa kunieleza what to do and what not to do

Unaweza anzisha uzi juu ya hilo
 
Vijana gani wameamka?
Kama vijana wangekua wanashawishiwa na mtu/chadema wangesha andamana siku nyingi sana, maana chadema miakanenda miaka rudi huwa wanahamasisha maandamano lakini vijana hawaandamani.

Kilichotokea awamu hii sio ushawishi wa chadema wala kina mange, wakati ulikua umefika.

Mnakosea sana mnapojilazimisha kuamini eti chadema/wanaharakati wamesababisha maandamano, hao wote walidandia treni kwa mbele.
Endelea kulala usingizi wenzako washaanza kula posho na wanawachota akili huko X na IG ili wao wapige hela.

Shtuka kijana
 
Sijaona ukipinga na kulaani mauaji na utekaji unaofanywa bali umekazania maandamano.hawa wanaoandamana wanadai haki na dhuluma wanaofanyiwa wanaokotwa km kuku na mwewe watekaji day to day namba inaongezeka wapo hdi vjjn.leo wakidai haki yao ndn ya nchi yao mnaona wahalifu mnawaua. Tangia lini serikali imetoa kibali ya maandamano?
Mmeomba kibali na kunyimwa?

Kama mimi sijazungumzia utekaji,je wewe umezungumzia

Hakuna wa kunieleza what to do and what not to do

Unaweza anzisha u
Nafurahia Kuona vijana wanaelewa

Na sasa ukitaka kujua huu ulikuwa Mardi hawa jamaa wako wanaudhuria vikao vyao

Sasa swali kuna Kijana mpaka sasa akiyeandama kaitwa ikulu kufanya mazungumzo !!!

Ahaaa !!!

Yaani activist huu ndo mwisho wao
Watakataa chini tu
 
Na maandamano ya kupongeza serikali pia? Au haya hayahusiki? Tunataka kupongeza raisi Samia kwa mauaji ya raiya baada ya kuchaguliwa kwa asilimia mia.
Unachaguliwa kwa asilimia mia Kisha unajua waliokuchagua
Sisi tunapush kuhusu Amani tuwe na TANZANIA SALAMA
 
Mjinga ni wakati wa kwenda ViJANA hatutawezi kuandamana wala kuichoma nchi yetu. Maana hatuna nchi nyingine zaidi Tanzania

GEN Z , we don't play someone's game.

Wanasiasa wao wao watamaliza tofauti Ila sisi wananchi hatutahusika na maandamano yoyote yanayopangwa na wanaharakati au chama fulani ,
Bwaahaaaa bwahaaa😂😂😂, nimecheka kwa nguvu sana, usingetokea kujibu id yako nyingine ningeshangaa sana. Ertugrul Bey
 
Kufa ni mara moja na kuishi ni mara moja usitutishe
 
HAYA LAND HOV

😂😂Bwahaaa bwahaaa, wazee mnapotumia mbinu outdated kujifanya mnachopush kinabamba kwenye jamii. Baadae HAYA LAND HOV naye ataanzisha mada kisha na hii id yako ifaingia kujijibu😂

Nigger.

we don’t want your shit. We came out of the generation of Poverty who finally got the point:

No one’s going to help us. Even the government or relatives ,

So we went for self, for family, for block, for crew—which sounds selfish.

Najua unaumia sisi hatisapoti mauaji wala hatusapoti maandamano

Kwahiyo we preach awareness

Nyie mnataka tucheze game yenu ! No no

Leo chadema wanaudhuria vikao na wameanza kula posho then mnataka vijana wakawapambanie

No.
 
View attachment 3516133

My people,​

Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua

Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate kutimizwa

1. Barua ya maombi ya kufanya maandamano

2. Madai au dhumuni la kufanya hayo maandamano

3. Yanapitia njia gani

4. Mnakusudia ujumbe wenu kuupeleka kwa nani au mkasikilizwe na nani

Baada ya taratibu hizo zote kukamilika na kupewa go ahead hapo sasa hayo maandamano yanakuwa halali,ina maana hapo mko salama kwa asilimia 💯

Kinyume na hapo mnavunja sheria na mnachukuliwa hatua

Sasa maandamano ya 29 Oct yalikuwa mageni kwa wengi wetu na hatukujua athar zake

Now tumejua athar za maandamano kwahiyo tusirudie makosa yale yale tuliyo yafanya last time

Tumejua how far Dola inaweza kwenda pale ambapo taratibu zikikiukwa,sasa tusitake Tena kuipima dola how far inaweza kwenda pale tutakapo ishika masharubu

Najua kwa wengi wetu tunaonekana hatupo pamoja na wananchi ila tupo upande wa dola,kitu ambacho si kweli,ubaya wetu ni kuwasanua nyie ndugu zetu kwamba don't play someone's game kwa maneno mazuri ya HAYA LAND HOV

Narudia tena mnafamilia zenu na mna ndoto nyingi ambazo mnataka kuzikamilisha basi msikubali kupoteza ndoto zenu kizembe kwa maslahi ya watu wachache ambao wanapush hizi mambo ili wapate kuishi hapa town, na kuna wadau wengine wanapush maandamano bila kujua kuwa wenzao wanamkwanja kwa kila jitihada wanayofanya

We have one soul don't waste it unnecessarily

Ni hayo tu!
Mkijisahau kuweka curfew siku yoyote muhimu iwe sherehe ya kidini au mwaka mpya au sherehe ya kiserikali ndiyo mtajua kama maharage ni mboga au futari.
 
Mjinga ni wakati wa kwenda ViJANA hatutawezi kuandamana wala kuichoma nchi yetu. Maana hatuna nchi nyingine zaidi Tanzania

GEN Z , we don't play someone's game.

Wanasiasa wao wao watamaliza tofauti Ila sisi wananchi hatutahusika na maandamano yoyote yanayopangwa na wanaharakati au chama fulani ,
Hata akina Mandela walifanya machafuko mengi dhidi ya makaburu wa afrika kusini, na Nyerere alitoa misaada ya hali na mali, hakujali kama akina Mandela walikuwa wanaharibu taswira ya nchi yao wala kuharibu miundombinu ya nchi yao. Yaani mnapambana na nyakati. Wakati wa mabadiliko ya kweli umefika, taka misitake, na hakuna amani itapatikana hadi mabadiliko ya kweli yatokee, na waliofanya mauaji wawajibishwe.
 
Back
Top Bottom