Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
acha upotoshaji gentlemanHata akina Mandela walifanya machafuko mengi dhidi ya makaburu wa afrika kusini, na Nyerere alitoa misaada ya hali na mali, hakujali kama akina Mandela walikuwa wanaharibu taswira ya nchi yao wala kuharibu miundombinu ya nchi yao. Yaani mnapambana na nyakati. Wakati wa mabadiliko ya kweli umefika, taka misitake, na hakuna amani itapatikana hadi mabadiliko ya kweli yatokee, na waliofanya mauaji wawajibishwe.

