Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Vijana wa CCM utadhani wote tabia zenu ni kama za Anko Twalib!MIMI KAMA KIJANA NITAKUWA NDANI NACHEZA KIDALI POOO NA WIFE , FUJO ZA NINI MIE ππ
Na wasiwasi hata mengi walimuondoa
SIHAMASISHI MAANDAMANO ila kwa kuwa umesema ngoja na sie tuongee(msije kunikamata)View attachment 3516133
My people,
Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua
Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate kutimizwa
1. Barua ya maombi ya kufanya maandamano
2. Madai au dhumuni la kufanya hayo maandamano
3. Yanapitia njia gani
4. Mnakusudia ujumbe wenu kuupeleka kwa nani au mkasikilizwe na nani
Baada ya taratibu hizo zote kukamilika na kupewa go ahead hapo sasa hayo maandamano yanakuwa halali,ina maana hapo mko salama kwa asilimia π―
Kinyume na hapo mnavunja sheria na mnachukuliwa hatua
Sasa maandamano ya 29 Oct yalikuwa mageni kwa wengi wetu na hatukujua athar zake
Now tumejua athar za maandamano kwahiyo tusirudie makosa yale yale tuliyo yafanya last time
Tumejua how far Dola inaweza kwenda pale ambapo taratibu zikikiukwa,sasa tusitake Tena kuipima dola how far inaweza kwenda pale tutakapo ishika masharubu
Najua kwa wengi wetu tunaonekana hatupo pamoja na wananchi ila tupo upande wa dola,kitu ambacho si kweli,ubaya wetu ni kuwasanua nyie ndugu zetu kwamba don't play someone's game kwa maneno mazuri ya HAYA LAND HOV
Narudia tena mnafamilia zenu na mna ndoto nyingi ambazo mnataka kuzikamilisha basi msikubali kupoteza ndoto zenu kizembe kwa maslahi ya watu wachache ambao wanapush hizi mambo ili wapate kuishi hapa town, na kuna wadau wengine wanapush maandamano bila kujua kuwa wenzao wanamkwanja kwa kila jitihada wanayofanya
We have one soul don't waste it unnecessarily
Ni hayo tu!
Post ya kipumbavu zaidi tangu nijiunge JF.View attachment 3516133

SIHAMASISHI MAANDAMANO ila kwa kuwa umesema ngoja na sie tuongee(msije kunikamata)
Ili maandamano yafanikiwe ni lazima yawe haramu shehe!!!
Na tena hakunaga MAANDAMANO YA AMANI, Kwa sababu, mnapoandamana mnakua mnatafuta bargaining power, ili kuipata ni lazima ufanye mambo yaliyo nje ya utaratibu/sheria ili watawala waogope na kuamua kukaa meza moja au kuachia ngazi(ndio maana yale yaliyopita waliita fujo sio maandamano ili kucheza na saikolojia)
Bargaining power haiwezi kuja kama mtaenda mmebeba mabango mnapita kila mtaa mnaimba imba kwaya za kina rozi muhendo bila kashkash za hapa na pale.
Ukifanya hayo ya kibali, kwanza watu wengine wasiohusika wataendelea na mishe zao za kawaida(hili sio lengo la maandamano)na mkipita mitaani watu watawakuwa wanawashangaa tu mnavyopoteza muda.
Ila ukiandamana, wananchi wanaojifanya hawahusiki na maandamano wakawa na options mbili tu, kujifungia ndani au kuungana na waandamanaji(hakuna kwenda kazini) tayari unakua umepiga hatua kuelekea kuwa na bargaining power.
Case study Nepal, hii video chini, ilirekodiwa na kijana mtalii aliekua anapita Nepal anaendelea na mishe zake accidentally akakutana na maandamano.
Hiyo video baada ya kupandishwa youtube, watawala wa nchi mbalimbali walishinikiza ifutwe mtandaoni eti sababu inawafundisha vijana wengine techniques za kuandamana na kweli ilifutwa lakini jamaa akakomaa mpaka ikarudishwa hewani tena
View: https://youtu.be/IyxSqeFrlp0?si=qrdzZZSAdJuzcPTV
Walimuua kiuchumi. kwa kukwamisha fursa za kiuchumi kwenye makampuni yake walimdhibiti na kumnyima vitaru vya gesi ...AJENDA KUU YA HAO RAIA FEKI NI DHIDI YA UKRISTO NA UBANTU YAANI AWATAKI MBANTU AU MKRISTO YOYOTE KUMILIKI NJIA KUU ZA UCHUMI NA WAO KUKAMATA SERIKALI KAMA ILIVYO SASA .....MAUAJI YA WAANDAMANAJI NI WAO WANAO FANYA NA KUYA AMRISHA DHIDI YA WATANGANYIKA NA DHIDI YA WAZALENDO.Na wasiwasi hata mengi walimuondoa
Sawa mimi ntakuwa road kukinukishaMIMI KAMA KIJANA NITAKUWA NDANI NACHEZA KIDALI POOO NA WIFE , FUJO ZA NINI MIE ππ
Wewe jamaa una ujinga mwingi sana. Nashauri watu wengine pia wakupuuze kama nilivyokupuuzaView attachment 3516133
My people,
Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua
Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate kutimizwa
1. Barua ya maombi ya kufanya maandamano
2. Madai au dhumuni la kufanya hayo maandamano
3. Yanapitia njia gani
4. Mnakusudia ujumbe wenu kuupeleka kwa nani au mkasikilizwe na nani
Baada ya taratibu hizo zote kukamilika na kupewa go ahead hapo sasa hayo maandamano yanakuwa halali,ina maana hapo mko salama kwa asilimia π―
Kinyume na hapo mnavunja sheria na mnachukuliwa hatua
Sasa maandamano ya 29 Oct yalikuwa mageni kwa wengi wetu na hatukujua athar zake
Now tumejua athar za maandamano kwahiyo tusirudie makosa yale yale tuliyo yafanya last time
Tumejua how far Dola inaweza kwenda pale ambapo taratibu zikikiukwa,sasa tusitake Tena kuipima dola how far inaweza kwenda pale tutakapo ishika masharubu
Najua kwa wengi wetu tunaonekana hatupo pamoja na wananchi ila tupo upande wa dola,kitu ambacho si kweli,ubaya wetu ni kuwasanua nyie ndugu zetu kwamba don't play someone's game kwa maneno mazuri ya HAYA LAND HOV
Narudia tena mnafamilia zenu na mna ndoto nyingi ambazo mnataka kuzikamilisha basi msikubali kupoteza ndoto zenu kizembe kwa maslahi ya watu wachache ambao wanapush hizi mambo ili wapate kuishi hapa town, na kuna wadau wengine wanapush maandamano bila kujua kuwa wenzao wanamkwanja kwa kila jitihada wanayofanya
We have one soul don't waste it unnecessarily
Ni hayo tu!
Michezo ya kitoto safari hii itaishia mitandaoni.
Vijana wameamka Sana.
Unajifariji kijinga na kitoto sana.Michezo ya kitoto safari hii itaishia mitandaoni.
Vijana wameamka Sana.
Sawa muda utaongeaUnajifariji kijinga na kitoto sana.
Na maandamano ya kupongeza serikali pia? Au haya hayahusiki? Tunataka kupongeza raisi Samia kwa mauaji ya raiya baada ya kuchaguliwa kwa asilimia mia.View attachment 3516133