Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

Michezo ya kitoto safari hii itaishia mitandaoni.

Vijana wameamka Sana.
Vijana gani wameamka?
Kama vijana wangekua wanashawishiwa na mtu/chadema wangesha andamana siku nyingi sana, maana chadema miakanenda miaka rudi huwa wanahamasisha maandamano lakini vijana hawaandamani.

Kilichotokea awamu hii sio ushawishi wa chadema wala kina mange, wakati ulikua umefika.

Mnakosea sana mnapojilazimisha kuamini eti chadema/wanaharakati wamesababisha maandamano, hao wote walidandia treni kwa mbele.
 
well done gentleman
 

Uzuri taarifa zote tunazo
 
Huwa nainjoy sana nikiona kijana anatokwa na povu na kukasirika ni dallili tosha ujumbe unafika

Tulieni dawa iwaingie vizur,ni movement ya awareness kuwatoa upumbavua vichwani mwenu

The show still continuous till 31/12/25
 

Ujinga Kama huu ndo unaonesha wazi kuwa JF kuna kizazi cha wajinga Sana

MENGI una uhakika aliuliwa ?
 
Huo ndio ukweli hakuna maandamano,hakuna vifo tena

Enough is enough hatuwezi teketeza vijana wetu kwa game ya watu wengine
 
Huo ndio ukweli hakuna maandamano,hakuna vifo tena

Enough is enough hatuwezi teketeza vijana wetu kwa game ya watu wengine

Nafurahia Kuona vijana wanaelewa

Na sasa ukitaka kujua huu ulikuwa Mardi hawa jamaa wako wanaudhuria vikao vyao


Sasa swali kuna Kijana mpaka sasa akiyeandama kaitwa ikulu kufanya mazungumzo !!!

Ahaaa !!!

Yaani activist huu ndo mwisho wao
 
Mmeomba kibali na kunyimwa?

Kama mimi sijazungumzia utekaji,je wewe umezungumzia

Hakuna wa kunieleza what to do and what not to do


Unaweza anzisha uzi juu ya hilo
 
Endelea kulala usingizi wenzako washaanza kula posho na wanawachota akili huko X na IG ili wao wapige hela.

Shtuka kijana
 
Mmeomba kibali na kunyimwa?

Kama mimi sijazungumzia utekaji,je wewe umezungumzia

Hakuna wa kunieleza what to do and what not to do


Unaweza anzisha u
Nafurahia Kuona vijana wanaelewa

Na sasa ukitaka kujua huu ulikuwa Mardi hawa jamaa wako wanaudhuria vikao vyao


Sasa swali kuna Kijana mpaka sasa akiyeandama kaitwa ikulu kufanya mazungumzo !!!

Ahaaa !!!

Yaani activist huu ndo mwisho wao
Watakataa chini tu
 
Na maandamano ya kupongeza serikali pia? Au haya hayahusiki? Tunataka kupongeza raisi Samia kwa mauaji ya raiya baada ya kuchaguliwa kwa asilimia mia.
Unachaguliwa kwa asilimia mia Kisha unajua waliokuchagua
Sisi tunapush kuhusu Amani tuwe na TANZANIA SALAMA
 
Bwaahaaaa bwahaaa😂😂😂, nimecheka kwa nguvu sana, usingetokea kujibu id yako nyingine ningeshangaa sana. Ertugrul Bey
 
Kufa ni mara moja na kuishi ni mara moja usitutishe
 
HAYA LAND HOV

😂😂Bwahaaa bwahaaa, wazee mnapotumia mbinu outdated kujifanya mnachopush kinabamba kwenye jamii. Baadae HAYA LAND HOV naye ataanzisha mada kisha na hii id yako ifaingia kujijibu😂



Nigger.

we don’t want your shit. We came out of the generation of Poverty who finally got the point:

No one’s going to help us. Even the government or relatives ,

So we went for self, for family, for block, for crew—which sounds selfish.

Najua unaumia sisi hatisapoti mauaji wala hatusapoti maandamano

Kwahiyo we preach awareness

Nyie mnataka tucheze game yenu ! No no

Leo chadema wanaudhuria vikao na wameanza kula posho then mnataka vijana wakawapambanie

No.
 
Mkijisahau kuweka curfew siku yoyote muhimu iwe sherehe ya kidini au mwaka mpya au sherehe ya kiserikali ndiyo mtajua kama maharage ni mboga au futari.
 
Hata akina Mandela walifanya machafuko mengi dhidi ya makaburu wa afrika kusini, na Nyerere alitoa misaada ya hali na mali, hakujali kama akina Mandela walikuwa wanaharibu taswira ya nchi yao wala kuharibu miundombinu ya nchi yao. Yaani mnapambana na nyakati. Wakati wa mabadiliko ya kweli umefika, taka misitake, na hakuna amani itapatikana hadi mabadiliko ya kweli yatokee, na waliofanya mauaji wawajibishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…