Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

acha upotoshaji gentleman
 
Hizo posho mnazowapa cdm wapeni kimpango wenu, lakini lazima turudi lockdown kuweza kupata katiba tuitakayo, sio hiyo ya kupangwa na majizi ya ccm. Xmas tutalia ndani wote.
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Hizo posho mnazowapa cdm wapeni kimpango wenu, lakini lazima turudi lockdown kuweza kupata katiba tuitakayo, sio hiyo ya kupangwa na majizi ya ccm. Xmas tutalia ndani wote.

Lock down katika holiday Ina shida gani?
 
Hizo posho mnazowapa cdm wapeni kimpango wenu, lakini lazima turudi lockdown kuweza kupata katiba tuitakayo, sio hiyo ya kupangwa na majizi ya ccm. Xmas tutalia ndani wote.
kwani gentleman,
wewe ulipanga kuila Christmas ukiwa nje?
kula ukiwa ndani na familia itapendeza zaidi.

nikuhakikishie tu,
hakuna gaidi atathubutu kusumbua mwananchi anaesherhekea sikukuu hiyo popote nchini.
Jiepusha na magenge ya kihalifu ili ubaki moto na sio baridi
 
Wenye kumbi za starehe wanahemea juu juu. TRA walijaanda kukusanya kodi ya kutosha hawana hamu. Watalii na wageni mbali mbali waliopanga kuja kulia sikukuu hapa itabidi wakae kwa kutulia.
 
hizo porojo ni useless na completely nonsense gentleman
 
Chawa wacha upotoshaji hakuna kitu kinaitwa kibali rasmi cha maandamano.Gen Z msisikilize vibaka kama huyu, mkiamua kukiwasha kiwasheni tu maana hawa kenge wanajiona wao ni miungu watu.
 
Bibilia imejaa nukuu za haki kutoka kwa mtume, hizo nukuu za amani zimejaa kwenye majarida ya CCM tu.
 
Mkijisahau kuweka curfew siku yoyote muhimu iwe sherehe ya kidini au mwaka mpya au sherehe ya kiserikali ndiyo mtajua kama maharage ni mboga au futari.
Na hiki ndicho wanaharakati wenye nia mbaya na nchi hii wanataka kufanya

Wanajua kabisa watu wapo sensitive na dini zao kwahiyo ukiweka lockdown kwa sikukuu hiyo basi unapata public sapoti

Mpaka hapo hamjajua hawa watu motive yao ni nini?
 
Motive ni kufanya chochote, to do whatever it takes kumuondoa huyo Bibi Manyonyo makubwa. We're focused and anyone who is not ready to fight with us akae pembeni.
 
Kwa mtazamo wenu mnafanya lolote ili muangushe serikali ,na je Serikalli ilikafanya chochote ili kulinda mamlaka yake mtamlaumu nani?
 
Serikali hapo ilipo na yenyewe inafanya whatever it takes na wanatumia unconventional methods ndiyo maana wameunda vikosi haramu vinavyofira mpaka watoto wa twelve years na hivyo vikosi havipo kikatiba(Mafia type of gangs) sasa watu wa haiwezekani kupambana nao kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…