Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

KURA YANGU KWA MAGUFULI HAKIKA
 
Yani mimi kama kijana naisubiri sana hiyo tarehe 28 october tukawaonyeshe watanzania jinsi magufuli tunavyompenda vijana ...Yani kura zote kwa Dk John Magufuli....huyu mzee jamani katufanyia maendeleo mengi anaebisha kuna nati za kichwa zimechomoka

Ithibati ya Ustadi wa JPM katika Uongozi ni HAIPIMIKI. KURA YANGU KWA MAGUFULI ✅​

 
Kura zote kwa Tundu Lisu.

Magufuli mpelekeni kwa Gwajima.

Kalia sana " Nileteeeeni Gwajima, nileteeeeeeeni Gwajima, nileteeeeeeeeeni Gwajima "

Kuliko kumpelekea Gwajima yeye ndiye tutampeleka kwa Gwajima.
Yani wewe unaonekana kabisa ni malaya wa kisiasa kabisa mbayuwayu wewe,hivi unaelewa upuuzi anaoleta LISSU wenu huyo sijuii ndio TUNDU,na kweli ni Tundu kaMA Tundu.


ILA nakuamba utapata aibuu sana mara baada ya huyo mbuzi wenu kushindwa,,


KURA YANGU KWA MAGUFULI.
 
H
Hizo asilimia wala siyo Magufuli aliyeziweka,ukiwa muongo inabidi uwe na kumbukumbu hasa.Umewahi kufikiria huko Halmashauri wanayo hayo mapato ya kutolea mikopo?Hizo takwimu za idadi ya ajira zinaaminika kwa kiasi gani?NBS wamezithibitisha?
Hatudanganyike na hizi propaganda za CCM,kuna mambo mnamsifia nayo Rais wakati siyo mhusika wake na kwa kufanya hivyo mnamdhalilisha.
 
Wewe endelea kuimba taarabu na kurukaruka kama mahindi ya bisi yakiwa yanaiva, ila kaa utambue kura zote atapewa Magufuli.
Anapewaje kura zote?
Kwani kura zote unazo wewe? Acha ujinga![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mpeni gwajimaaaa
 
Hahaha nileteeeeni Gwaj... nileteeeeeni Gwajim.... nileteeeeeeeeeni Gwajimaaaa!

Hahaha no wonder they are not reachable.

Wewe Umesikia wapi kampeni za kulazimishana. In Bwege's voice.
Rais Magufuli ni MNYENYEKEVU Katika Kuomba kura, sio hilo tu pia Sifa nyingine nzuri aliyonayo JPM ni kupanga mipango vizuri, tena inayotekelezeka. KURA YANGU KWA MAGUFULI ✅
 
KWa upande wangu kama kijana ninae tambua ni wapi tumetoka na tunapokwend kupitia uongozi wa Dr MAgufuli nasema wazi KURA YANGU KWA MAGUFULI


ANGALIA SURA YA LISSU,KIGOGO NA MBWA WENGINE BAADA YA USHINDI HAWATA AMINI.


KURA YANGU KWA MAGUFULI[emoji617][emoji617][emoji819][emoji819][emoji819]
 
Anapewaje kura zote?
Kwani kura zote unazo wewe? Acha ujinga![emoji41][emoji41][emoji41]
Wewe fanya kama unajikuna halafu uone kama hapewi kura zote na watanzania. 2015 mliungana vyama vya mpechempeche vyote na bado Magufuli akawazidi kete, hivi unategemea sasa hivi hamjaungana mtapata kura kweli??????
 
Wewe fanya kama unajikuna halafu uone kama hapewi kura zote na watanzania. 2015 mliungana vyama vya mpechempeche vyote na bado Magufuli akawazidi kete, hivi unategemea sasa hivi hamjaungana mtapata kura kweli??????
Ndugu achana nao hao viuno vya pweza havina structure ya uelewa wao bimafsi mpaka uelewa wa nchi yaoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…