Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

Hilo kuhusu kuoa ni serious ujue...vijana wengi wa kiume Wanaona pointless
 
Acha kujikosha...ukiambiwa utaje mashoga watano mtaani kwako utataja... acha kuforce ushoga uonekane as big issue wakati watu wanakula Malaya huko
 
Sijawahi kuona umuhimu wa kuoa au kuolewa. Huu ni utamaduni wa kipuuzi sijui nani aliuanzisha na alifikiria nini ?!.
Nyie ni mawakala wa shetani na hakuna atakaye waunga mkono.

Kama hutaki kuoa wala kuolewa jiandae kuw Shoga au Msagaji tu.

Sasa mwanaume kuoa hutaki kumiliki demu unaogopa gharama unasubiri nini kama sio Kudinywa?
 
Umemaliza ?
 
Mficha maradhi kifo humuumbuwa. Unaogopa kuusema ukweli kwa kuwa "tutavurugana"?

Gavana wa JF kwenye signature kuna maandishi haya, "In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession"

Hicho kitabu anacho kinukuu kina ukweli wowote? Nikatumia muda ku Google kidogo, nikakutana na hiki:

Sidhani kama kuna dini inayoruhusu ushoga Kwa sababu Kwa sheria za Biblia ushoga ni kosa ambalo Kwa adhabu iliyotajwa ni Kifo.

Kuhusu hicho kitabu ngoja nikipitie
 
Nyie ni mawakala wa shetani na hakuna atakaye waunga mkono.

Kama hutaki kuoa wala kuolewa jiandae kuw Shoga au Msagaji tu.

Sasa mwanaume kuoa hutaki kumiliki demu unaogopa gharama unasubiri nini kama sio Kudinywa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bac kaoa mke wako akaliwe na mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…